Mi mwenyewe ndio nimejifunzia hapoAsilimia 99 ya wana JF hawajui kiswahili kama huamini jaribu kumuuliza mtu neno mojawapo ya hayo hapo tafsiri yake ya kiswahili uone majanga yake
Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Hii ni lugha rasmi na inapaswa kutumika katika mazingira rasmi mf. katika akademia. Hata Kiingereza huwezi kuanza kutumia maneno ya kitaalamu katika mazingira yasiyohusika. Hutaeleweka.Stress ni pale unapogundua kumbe hujui kiswahili wala kiingereza.
Nimepoteza begi stand lenye kiotomotela, kadi sakima, kadi kazi, pamoja na tarakishi.
balaa hili.
Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app