Jifunze kiswahili sanifu

Jifunze kiswahili sanifu

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ww nahisi hata ukinywa sharubati lowasa unakua unamuona, sijui kuna uhusiano gani kati ya post Na lowasa
 
Duu kaka Mshana Jr kweli nahitaji kamusi ya Kiswahili toleo jipya.
Maana nipo kwenye KICHARAZO pamoja Na SIMUTAMBA Na huku nakula VIBANZI Na SHARUBATI pembeni.
Asante kaka Mshana Jr. Kwa Elimu Elimu Elimu ya Kiswahili.
 
Sumatra

Kwa morogoro ina mabasi ya mwendo kasi kwa sasa punguzeni daladal za barabara hio.
 
Kwahiyo faiza Foxy hapo akisoma ataachwa bila vazi!

Ila Kiswahili ni kibaya tuache utani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Maneno mengine yangeachwa yabaki kwenye Lugha mama yake hivyo vizee BAKITA ni shida sana.. Lugha zinakua mtaani na sio maofisini.
 
Stress ni pale unapogundua kumbe hujui kiswahili wala kiingereza.

Nimepoteza begi stand lenye kiotomotela, kadi sakima, kadi kazi, pamoja na tarakishi.
[emoji1] [emoji1] [emoji15] balaa hili.
Begi.....Mkoba
 
Back
Top Bottom