Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Hahaha professor nafikiri umekosoa tu lakini hujataka elimu zaidi, na kwakuwa hujataka kuuliza nami nakuacha, Phonetic Alphabet ina wigo mpana ndugu yangu hayo maneno Roger na Copied ni maneno ambayo yamezoeleka tu.
Mfano kuna maneno kama; "one sixty nine," "five over five" unayajua maana yake?
Mkuu, nimekupata. Correction kidogo, huwa ni "five by five" and not five over five. ikimaanisha LOUD AND CLEAR. hiyo ya one sixty nine hutumiwa na marubani kama kutambulisha flight number wakati anapofanya mawasiliano na control tower/air traffic controller. ELIMU NI BAHARI, LET US SHARE THE KNOWLEDGE
 
hujaeleza vizuri,
kama team yetu ni B1 na tupo watatu ndani ya team hiyo, kuna kuwa na bravo1,bravo2,bravo3...
Wote mtatumia code moja but mtatofautiana namba. kwa mfano, DELTA ALPHA 4.6 ila inatamkwa '4'6'..yaani four six. kwa hiyo nikiita, nitaanza kuita code ya yule nayempa taarifa. let say wewe namba yako ni 4.5..."DELTA ALPHA FOUR FIVE, THIS IS DELTA ALPHA FOUR SIX...DO YOU COPIE?"...
 
copy that
 
Roger

katika vitu navipendaga kwenye movie ni haya maneno hasa do you copy ,Over
 
Back
Top Bottom