Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Umesema vizuri kaka wewe sio mwanajeshi na hujui chochote kuhusu jeshi , ungeandika unachokijua...hata huko Google hujasoma vizuri
 
Wote mtatumia code moja but mtatofautiana namba. kwa mfano, DELTA ALPHA 4.6 ila inatamkwa '4'6'..yaani four six. kwa hiyo nikiita, nitaanza kuita code ya yule nayempa taarifa. let say wewe namba yako ni 4.5..."DELTA ALPHA FOUR FIVE, THIS IS DELTA ALPHA FOUR SIX...DO YOU COPIE?"...
Roger that
 
nilienda polisi siku moja wakt nikiea na mazungumzo na mkuu wa kituo ghafla akapigiwa cm nikawa curious kujua wanacho ongea kiukweli nilitoka sifuri kwani walikua wanaongea kama dudumizi chajushangaza wao walikua walikua wanaelewana hadi wanaangua kicheko.
 
habari ndugu katika jamiiforums !
MIMI si MWANAJESHI wala mtu wa usalama wetu ila nimezipata google tu !

kwanza kabisa nikushukuru kwa kutumia muda wako kupitia uzi huu,zifuatazo ni herufi 26 na zitamkwavyo na majeshi ya NATO.lakini pia nimeweka LANGUAGE CODE ya kuziandika kwa usashihi.
hizi International Radiotelephony Spelling Alphabet zilianzishwa na kutofautishwa MATAMSHI kulingana na sehemu husika kwa sababu baadhi ya herufi zilifanana sana katika matamshi mfano. herufi "p" na "b" n.k


herufi zenyewe ni hizi hizi za kiingereza 26 yaani A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z.
Sasa ili kutofautisha matumizi ya kijeshi na watu wengine kama marubani herufi hizi zilipewa majina yafuatayo;
A = Alfa
B =Bravo
C = Charlie
D =Delta
E =Echo
F =Foxtrot
G =Golf
H =Hotel
I =India
J =Juliett
K =Kilo
L= Lima ˈ
M =Mike
N =November
O =Oscar
P =Papa
Q =Quebec
R = Romeo ˈ
S = Sierra
T = Tango
U = Uniform

V = Victor
W =Whiskey ˈ
X = X-ray
Y = Yankee ˈ
Z = Zulu

sasa tutoe mfano huu........!
Mwanajeshi akipiga simu kwa mkuu wake wa oparesheni,atajitambulisha kwa kutumia hizo herufi.Kama huyo mwanajeshi amepewa utambulisho ake ni B1,yeye atajitambulisha kwa kusema BRAVO1,
yaani hajatumia herufi B ila ametamka neno zima BRAVO.

kitu kingine kama umewahi kutazama movie za kijajusi kama STRIKE BACK,
utakua umewahi kuskia matumizi ya hayo maneno.

NB; Kama kuna lingine ongeza tu
PICHA
NATO_phonetic_alphabet
Kiusalama sio.vyema kila.MTU akazifajamu hizi Bali wahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom