Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Ukiwa kwenye ndege ukasikia may day may day tafuta parachuti uokoe maisha yako haraka
neno hilo likifail huwa linatumika hili “pan-pan pan-pan pan-pan”, ukimalizia na kituo unachoomba msaada... neno hili lintumika sana na wafaransa ama linaasili ya kifaransa..
 
Ukiwa kwenye ndege ukasikia may day may day tafuta parachuti uokoe maisha yako haraka
Hahah...umenichekesha sana! Ndege utarukaje na parachute? siyo rahisi kihivyo. hata hivyo ni rare scenario kutokea. kuna Marubani wanaanza carrier ya u-pilot mpaka kustaafu hawajawahi kutangaza "may day may day". Hata control tower wenyewe wakisikia may day imetangazwa...panachimbikaga! Air traffics wote walioko on duty wanaacha kazi zote na ku-concentrate na ndege hiyo ilitangaza hali ya hatari. mara nyingi husitisha shughuli zote on ground mpaka wajue hatima ya ndege hiyo...
 
hii ni lugha ya anga kokote duniani siyo ya jeshi la nato tu
 
Mfano kwenye ile movie ya olympus has fallen

Utakumbuka yule jasusi Bennie alipofanikiwa kuingia white house akatumia sim ya rais kuwasiliana na makao makuu ya ulinzi pentagon
Mkuu wa CIA akamtaka jasusi Bennie ajitambulishe
Akaulizwa designate.....akajibu oscar zullu basi yule mama mkuu wa CIA ndo akamtambua kuwa ni jasusi Bennie....!!

Ni katika kukumbushana tu...!
acknowledge
 
Uko sahihi,isipokua hujaleza dhana na malengo ya kubadilisha misemo ni nini.wanahofia nini hadi B waiite bravo!
ili mtu asichanganye mfano badala ya kuskia mtu kasema B au P hivo anapata uhakika ni B kwa sababu kaskia neno BRAVO
 
Hatutumii jina la mtu kama code identity, bali place/mahala unapofanyia kazi. kwa mfano, wewe ni mwajiliwa let say kituo chako cha kazi ni DAR...code yako itakuwa...DELTA ALPHA plus number yako ya utambulisho. eg. DELTA ALPHA PAPA 1.2 etc

hujaeleza vizuri,
kama team yetu ni B1 na tupo watatu ndani ya team hiyo, kuna kuwa na bravo1,bravo2,bravo3...
 
ili mtu asichanganye mfano badala ya kuskia mtu kasema B au P hivo anapata uhakika ni B kwa sababu kaskia neno BRAVO
Sawa,
Ktk procedure/ mawasiliano kijeshi ,kuna maneno maficho,,majina bandia(nikename)nk.lengo kuu ni kwamba ,kuepusha hata kama kuna adui kalibu asijue mnachozunguza,juzi watu walikua wanazungumzia ambushi humu,ambushi inahusiana sana na maneno ya aina hii,maana adui anaweza kuingia kwenye ngome yenu ana akasoma kilakitu hadi mifumo yunu,maongezi yenu,mipango yenu,nk ,lakini unapotumia maneni maficho au majina bandia ,adui unamchanganya na hatakama yupo ktk kundi lenu mnaweza kumgundua kwa haraka kwa sio mmoja kati yenu.
Malanyingi kila jeshe linatofautiana kwenye hii misemo kutokana na lugha wanayotumia.

Mfano kwa police kwenye matukio wanakmba msaada,utawasikia ,tuwaletee NYAMBIZI au CHA MIGUU MINNE OVER.
Kama wewe ni raia utaumuza kichwa kwamba nyambizi itakujaje mtaani,mala unashangaa maji ya upupu.
Hahahahahahahahahahha... .

Nimezipata google kama wewe mleta uzi.
 
safi mimi na wewe ni Googlean
 
Back
Top Bottom