Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Watu humu hawataki kujiendeleza... Wanaojibu wengi hata kama hatujawahi kwenda JKT.. Lakini huwezi dharau sinema au vitabu vyenye simulizi za kijeshi...

Maana ni kweli.. Hata movie ili kutengeneza uhalisia, kwa walioendelea ktk tasnia hiyo lazima watumie maneno na vitendo vyenye kushabihiana na mambo halisi.
 
safi sana...
ila wengine ni ubishi tu
 
habari ndugu katika jamiiforums !
MIMI si MWANAJESHI wala mtu wa usalama wetu ila nimezipata google tu !

kwanza kabisa nikushukuru kwa kutumia muda wako kupitia uzi huu,zifuatazo ni herufi 26 na zitamkwavyo na majeshi ya NATO.lakini pia nimeweka LANGUAGE CODE ya kuziandika kwa usashihi.
hizi International Radiotelephony Spelling Alphabet zilianzishwa na kutofautishwa MATAMSHI kulingana na sehemu husika kwa sababu baadhi ya herufi zilifanana sana katika matamshi mfano. herufi "p" na "b" n.k

herufi zenyewe ni hizi hizi za kiingereza 26 yaani A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z.
Sasa ili kutofautisha matumizi ya kijeshi na watu wengine kama marubani herufi hizi zilipewa majina yafuatayo;
A = Alfa
B =Bravo
C = Charlie
D =Delta
E =Echo
F =Foxtrot
G =Golf
H =Hotel
I =India
J =Juliett
K =Kilo
L= Lima ˈ
M =Mike
N =November
O =Oscar
P =Papa
Q =Quebec
R = Romeo ˈ
S = Sierra
T = Tango
U = Uniform

V = Victor
W =Whiskey ˈ
X = X-ray
Y = Yankee ˈ
Z = Zulu

sasa tutoe mfano huu........!
Mwanajeshi akipiga simu kwa mkuu wake wa oparesheni,atajitambulisha kwa kutumia hizo herufi.Kama huyo mwanajeshi amepewa utambulisho ake ni B1,yeye atajitambulisha kwa kusema BRAVO1,
yaani hajatumia herufi B ila ametamka neno zima BRAVO.

kitu kingine kama umewahi kutazama movie za kijajusi kama STRIKE BACK,
utakua umewahi kuskia matumizi ya hayo maneno.

NB; Kama kuna lingine ongeza tu
PICHA
NATO_phonetic_alphabet

Kaka ngoja tukusaidie kidogo na wewe upate kujua .....hizo code ulizo ziweka hapo zinatumika ktk mawasiliano ya kawaida tu....Sababu kuu ni watu wanatofautiana laafudhi au (mother tongue ) ktk Ujumla wa watu .

Mfano :unawasiliana na mtu ambaye haupo naye karibu....
Wewe Jina lako unaitwa (Ramazani)
Lkn kuna mtu atakwita Lamazani au Ramadhani. ..ila kumwambia Jina sahihi ndio unatakiwa kutumia hizo code

R for Romeo
A for Alpha
M for Mike
A for Alpha
Z for Zulu
A for Alpha
N for November
I for India

Hizo ndio njia sahihi za mawasiliano na kufanya kitu kiwe rahisi .
 
sasa hapo nimekosea kumbe eti ?
 
habari ndugu katika jamiiforums !
MIMI si MWANAJESHI wala mtu wa usalama wetu ila nimezipata google tu !

kwanza kabisa nikushukuru kwa kutumia muda wako kupitia uzi huu,zifuatazo ni herufi 26 na zitamkwavyo na majeshi ya NATO.lakini pia nimeweka LANGUAGE CODE ya kuziandika kwa usashihi.
hizi International Radiotelephony Spelling Alphabet zilianzishwa na kutofautishwa MATAMSHI kulingana na sehemu husika kwa sababu baadhi ya herufi zilifanana sana katika matamshi mfano. herufi "p" na "b" n.k

herufi zenyewe ni hizi hizi za kiingereza 26 yaani A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z.
Sasa ili kutofautisha matumizi ya kijeshi na watu wengine kama marubani herufi hizi zilipewa majina yafuatayo;
A = Alfa
B =Bravo
C = Charlie
D =Delta
E =Echo
F =Foxtrot
G =Golf
H =Hotel
I =India
J =Juliett
K =Kilo
L= Lima ˈ
M =Mike
N =November
O =Oscar
P =Papa
Q =Quebec
R = Romeo ˈ
S = Sierra
T = Tango
U = Uniform

V = Victor
W =Whiskey ˈ
X = X-ray
Y = Yankee ˈ
Z = Zulu

sasa tutoe mfano huu........!
Mwanajeshi akipiga simu kwa mkuu wake wa oparesheni,atajitambulisha kwa kutumia hizo herufi.Kama huyo mwanajeshi amepewa utambulisho ake ni B1,yeye atajitambulisha kwa kusema BRAVO1,
yaani hajatumia herufi B ila ametamka neno zima BRAVO.

kitu kingine kama umewahi kutazama movie za kijajusi kama STRIKE BACK,
utakua umewahi kuskia matumizi ya hayo maneno.

NB; Kama kuna lingine ongeza tu
PICHA
NATO_phonetic_alphabet
Juliet papa Mike....teh teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom