Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

Mleta thread yuko sahihi. hata mimi nilikuwa na Code yangu mahala fulani...India Romeo 5**! hapo kwenye nyota nimeficha ili nisiwe detected coz kuna watu wengi wanapita humu...
 
Charlie Charlie Mike (Chama Cha Mapinduzi)
Hatutumii jina la mtu kama code identity, bali place/mahala unapofanyia kazi. kwa mfano, wewe ni mwajiliwa let say kituo chako cha kazi ni DAR...code yako itakuwa...DELTA ALPHA plus number yako ya utambulisho. eg. DELTA ALPHA PAPA 1.2 etc
 
KWA KUONGEZEA;
01.Askari anaposema "Lima Charlie" yaani anamaanisha LOUD & CLEAR kwa tafsiri rahisi ni "amekuelewa vizuri kabisa"
hapana. kama umeelewa maelekezo kutoka upande mwingine unaofanya nao mawasiliano huwa tunasema Roger or copied kuonyesha kuwa umepokea ujumbe kama ilivyokusudiwa. askari wa Kibongo wanapenda kutumia neno "Nimekusoma"
 
Ni kweli si sio NATO tu, hizo ni code za kimataifa kwa mambo ya ulinzi hususani kwenye mawasiliano yao ya radio call, hata makampuni yote ya ulinzi hapa tz ndio lugha yao hiyo.
Sawa Sawa kama unajua fahamu hivyo,
andaa uzi usahishe na kujazia haya
 
hapana. kama umeelewa maelekezo kutoka upande mwingine unaofanya nao mawasiliano huwa tunasema Roger or copied kuonyesha kuwa umepokea ujumbe kama ilivyokusudiwa. askari wa Kibongo wanapenda kutumia neno "Nimekusoma"
safi sana,
nimefurahi kuskia hivi na ni kweli 100 %
tena na sema cope that
 
Mimi Huku Mwanza Matraffic Huwa Wanaitana Utasikia Sato Namba Moja Wasiliana Na Kiboko Namba 4 Sangara Namba 2 Niko Timamu Afande Maelekezo Mara Mamba Mara Tango Ukisikia Kifaru Namba Moja Ni Pira
Hahaha! code language imeshika
 
Mfano kwenye ile movie ya olympus has fallen

Utakumbuka yule jasusi Bennie alipofanikiwa kuingia white house akatumia sim ya rais kuwasiliana na makao makuu ya ulinzi pentagon
Mkuu wa CIA akamtaka jasusi Bennie ajitambulishe
Akaulizwa designate.....akajibu oscar zullu basi yule mama mkuu wa CIA ndo akamtambua kuwa ni jasusi Bennie....!!

Ni katika kukumbushana tu...!
 
hapana. kama umeelewa maelekezo kutoka upande mwingine unaofanya nao mawasiliano huwa tunasema Roger or copied kuonyesha kuwa umepokea ujumbe kama ilivyokusudiwa. askari wa Kibongo wanapenda kutumia neno "Nimekusoma"
Hahaha professor nafikiri umekosoa tu lakini hujataka elimu zaidi, na kwakuwa hujataka kuuliza nami nakuacha, Phonetic Alphabet ina wigo mpana ndugu yangu hayo maneno Roger na Copied ni maneno ambayo yamezoeleka tu.
Mfano kuna maneno kama; "one sixty nine," "five over five" unayajua maana yake?
 
Uko sahihi,isipokua hujaleza dhana na malengo ya kubadilisha misemo ni nini.wanahofia nini hadi B waiite bravo!
 
Back
Top Bottom