Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Mkuu unataka kukaa mezani na watu wasiojulikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumshirikisha Mungu Kwa jambo lolote la kidunia ni shirki .yeye Allah anajua wakumpa haki na kumnyima hapangiwi .soma vitabu achana na maneno ya vijiwen.
Kwanza hujui maana yashiriki .pia Mungu anapokea dua ndo maana akasema Adukhun astajiblakum .Nahiyo Albadry nidua yakumomba Mungu kama duwa zingine .so ww hujui kitu hata kur an hujasoma so tusibishane mambo ya Dino wakati hujui .chochocte mm nakwambia mameno yaMungu ww unaropoka unasema mambo yakijiweni .
 
Hapa kuna upotoshaji kidogo na nimeona ni vema tukawekana sawa.Ifahamike kwamba hiki kinachoitwa albadar ni uchawi na hata waislam wanaoelewa hili huita albadar ni shirki yaani ushirikina.
Albadir asili yake ni nini?

Jina albadili kwa kiswahili kwakiarabu ni badrii maana yake ni jini wa vita na hapa ndipo chanzo cha ushirikina wenyewe.Upo mkanganyiko mkubwa sana kwenye dua nyingi zinazoitwa zakumshitakia allah kwani msingi wake mkubwa ni majini ambayo ndio hutumika kudhuru watu na yeyote anayesoma albadili 100% ni mganga wakienyeji.
Nakaribisha maswali
Unaweka sawa wakati hivho unachokiweka sawa hukijui ??
 
Sasa mbona inaaminika kwamba wanamlilia Mungu hebu tupe historia yake kidogo
Mkuu ni kweli wanaweza kuwa wanamlilia mungu lakini jiulize huo ulizi wao namna yake inakubalika au, maana wanaweza kuwa wanalia lakini wako nje ya sheria.
Nikijuacho na kukiamini ni kwamba dua ya aliyedhulumiwa haina pazia baina ya mdhulumiwa na Allah, kwa hiyo hata ukisema "Ewe Allah fulani amenidhumu haki yangu basi hukumu baina yetu" hii yatosha kuwa ni dua, lakini hao kuna wayafanyayo ambayo katika uislam ni kufru kubwa kabisa iwatoayo katika uislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaouchafua uislam au wanatekeleza stahiki ya dini, ni
nani kama sio masheh wanasoma izo albadil au kusema takbir, ...nyie wenyew ndo mnafanya halafu mnasema vitu gani,
Mkuu Big hata katika dini nyengine waharibifu ni wale walopewa mamlaka ya kuongoza wengine, basi hata katika uislam ni hivyohivyo,
Japo si wote wayafanyayo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio nzuri sana kuisoma maana madhara yake ni makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya moto ni moto. Jiko kwa jino, jicho kwa jicho. Kwani madhara ya SMG ni madogo? Halafu si ni majambazi? Unawahurumia majambazi? Kwanza hawajulikani, hata wakidhulika hatutawaona maana hawajulikani. Kwahiyo itwangwe tu kieleweke. Hapa ni SMG VS ALBADRI
 
Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Mbona una hofu mkuu? Uko miongoni mwa watu wasiojulikana nini? Albadir haina mchezo, inatembea haswa na inatafuta, kila aliyehusika inamchukua.

Iliwahi kusomwa Tanga miaka ya nyuma na sharifu ilikuwa balaa, watu walitafutana.

Ni baada ya mwenye shamba la minazi kuingia shambani kwake na kukuta makumbi tu ya nazi, wezi walisafisha shamba zima.

Akatangaza kwa siku tatu, aliyehusika ajitokeze mwenyewe, watu wakakaa kimya, baada ya siku tatu kupita, sharifu akaenda kuisoma, ilikuwa ni kutafutana haswa kupita kiasi.

Punda aliyebeba nazi alikufa, chuma kilichofulia nazi kilimong'onyeka, wezi wote walikufa, kila aliyekula zile nazi alikufa, iliacha gumzo kubwa Tanga miaka na miaka, yoyote aliyeshiriki katika hizo nazi alikufa.
 
Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Auwae kwa upanga hufa kwa upanga isomwe tu ...walivyotaka kuuwa walitegemea nn ?
 
Kwanza hujui maana yashiriki .pia Mungu anapokea dua ndo maana akasema Adukhun astajiblakum .Nahiyo Albadry nidua yakumomba Mungu kama duwa zingine .so ww hujui kitu hata kur an hujasoma so tusibishane mambo ya Dino wakati hujui .chochocte mm nakwambia mameno yaMungu ww unaropoka unasema mambo yakijiweni .
Wewe Ndio wale mnaotumia vifungu vya Quran kufanyia shirki. Kudanganya watu Ndio dini hujanipata bado .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom