Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Inshaallah Dua ikubaliwe, Lissu majuzi ametoa wazi jinsi Udini unavyofanyika hapa nchini
 
Uzuri wake ni kuwa inakurudi mwenyewe kama umehusika. Kabla hujasoma hakikisha uko safi kuliko theluji.
 
Al Badr kwetu sisi tusioamini kuwepo kwa Mungu haina ukweli kama "dua" inayojibiwa na Mungu (Mungu hayupo, hivyo hawezi kujibu dua hii).

Ila, ina maana kubwa sana katika jamii. Inaonyesha kwamba watu wamechoka kiasi kwamba Mungu angekuwepo na angeweza kusikiliza dua hii, wangeitumia.

Ni namna mojaya kuwa isolate na kuwa shame watu wanaotumia ugaidi kufikia malengo yao maovu.

Kwa hiyo hata mimi ambaye siamini kuwepo kwa Mungu, na siamini kwamba dua huwa zinajibiwa na Mungu,naweza kuona maana ya hii Al- Badr from a purely social-psychological/ non-religious context.

Ni namna fulani ya jamii kulaani vitendo viovu.
 
Hiyo dua km kweli inaweza kufanya kazi kwa matukio km haya nchi za ulaya ambazo zinaongoza kumwaga damu tena damu ya watu wasio na hatia katika nchi za kiarabu basi marais na mawaziri wote wangekuwa washakufa wote..nashawishika sans kuamini hizi dini zetu uislam na ukristo zimechakachuliwa sana..long time ago bado nafanya research

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ifanye kazi anaesoma anapaswa awe (msafi) kupindukia! Na anaesomewa (mtuhumiwa) awe muovu/kosa la kupindukia! Sasaaa,,,dah ,,niishie hapo tu.
Funguka fungukaaaa wacha uoga minasema waisome naona vigezo vinatosha!!!!?
 
Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Na Ndio maana nikamwambia usitamke kitu usichokijua kuna Kanisa huko ulaya wameruhusu mashoga kwa kauli Yako inathibitisha ushoga ruksa makanisa yotee sio kila anachokitamka muislam Ndio uislam ulivyo Soma vitabu utaujua uislam ni dini ya Haki Hao wanaoleta shida sio waislam wanataka kuchaafua uislam.
 
Huyo dua km kweli inaweza kufanya kazi kwa matukio km haya nchi za ulaya ambazo zinaongoza kumwaga damu tena damu ya watu wasio na hatia katika nchi za kiarabu basi marais na mawaziri wote wangekuwa washakufa wote..nashawishika sans kuamini hizi dini zetu uislam na ukristo zimechakachuliwa sana..long time ago bado nafanya research

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aina fulani ya kujifariji pia.

Al Badr ingekuwa inafanya kazi, waliosaini mikataba mibovu wote wangekuwa washakufa vifo vibaya sana.

Badala yake wanadunda na kututukana malofa kila mwaka.
 
Na Ndio maana nikamwambia usitamke kitu usichokijua kuna Kanisa huko ulaya wameruhusu mashoga kwa kauli Yako inathibitisha ushoga ruksa makanisa yotee sio kila anachokitamka muislam Ndio uislam ulivyo Soma vitabu utaujua uislam ni dini ya Haki Hao wanaoleta shida sio waislam wanataka kuchaafua uislam.
Wanaouchafua uislam au wanatekeleza stahiki ya dini, ni
nani kama sio masheh wanasoma izo albadil au kusema takbir, ...nyie wenyew ndo mnafanya halafu mnasema vitu gani,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom