Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Madhara ya dua hiyo ni kwamba watu waliohusika, waliochangia mawazo, kifaa kilichotumika wote watapata madhara, na ndio maana dua hiyo waislam uwa tunashauriwa tutumie Busara kuisoma maana inaondokaga na wengi.
Nimeota Nanihii wamezuia dua hii kutokana na sababu za kiintelijensia
 
Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!

Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.

Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:

“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Asante mkuu.

Nimejifunza kitu
 
Ukweli kwamba watu wanawalalamikia kila siku halafu kumbe kuna solution dogo tu unawasomea wanapatwa na daflao, unaonyesha kwamba hata watu hawaiamini hii Al-Badr,inatumika kama njia ya kuunganisha watu tu,lakini kuiamini kama dua inayoweza kufanya kazi hakupo.

Kama ipo na inafanya kazi, mimi hapa mkana Mungu, dhambi yangu kukana kwamba Mungu yupo na kueneza habari hizo hapa JF.

Naomba mtu anisomee hiyo Al-Badr nife weekend hii, ili wiki ijayo nikikosekana hapa JF,uwe ushahidi mzuri kabisa kwamba Mungu yupo na anajibu Al-Badr.

Unaweza kuthibitisha hii Al-Badr inafanya kazi kwa mimikusomewa nife ili ukweli ujulikane na uongo ujitenge?

Na nikiweza kuja hapa Jumatatu kuendelea kuandika, ijulikane hiyo Al-Badr ni a social psychology myth tu,haina ukweli.

Hapo vipi?
Mkuu kule forex tunakuhitaji usife bbhana
 
Wadau naona watu wengi wamezungumza sana kuhusu kisomo cha Albadir ambacho baadhi ya waislamu wanatarajia kukisoma kesho kwa ajili ya kuwashtakia kwa Allah watu waliokusudia kumuua Mh, Tundu Lisu.

Kisomo hicho ambacho maana yake kwa Kiarabu kinaitwa Ahlul Badr, uwa kinasomwa kwa kuwataja maswaaba ambao walishiriki kupigana katika vita vya Badr,

Dua hiyo huwa ina majibu ya haraka sana kama inasomwa kwa ikhlas, na ni kwamba Allah uwa anaijibu punde tu kama jambo linalokusudiwa lipo kwenye haki, na kuna dhulma imefanyika,

Mtume Muhammad (Saw) anasema dua ya mwenye kudhulumiwa huwa haina pazia baina ya dua hiyo na Allah, tutarajie majibu ya haraka sana kama kweli dua hiyo itafanyika.

Madhara ya dua hiyo ni kwamba watu waliohusika, waliochangia mawazo, kifaa kilichotumika wote watapata madhara, na ndio maana dua hiyo waislam uwa tunashauriwa tutumie Busara kuisoma maana inaondokaga na wengi.

Assallaam Alleykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kuna kabinti fulani kanafiki sana kanajiita Faiza Foxy kanadanganya watu kuwa Albadri ni ushirikina.

FaizaFoxy
 
Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!

Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.

Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:

“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Naona mmeshaanza kuogopa siyo?

Hapa kisomo kwa kwenda mbele lazima mtu alipe yale mabaya aliyomfanyia mwenzake.
 
Mimi Chadema damu na Sijawah itetea Ccm, ila naweka sawa tu albadir sio uislam ni ushirikina. Kwahyo wasichanganye dini na shirk iko ni kisomo cha kichaw.
 
Wadau naona watu wengi wamezungumza sana kuhusu kisomo cha Albadir ambacho baadhi ya waislamu wanatarajia kukisoma kesho kwa ajili ya kuwashtakia kwa Allah watu waliokusudia kumuua Mh, Tundu Lisu.

Kisomo hicho ambacho maana yake kwa Kiarabu kinaitwa Ahlul Badr, uwa kinasomwa kwa kuwataja maswaaba ambao walishiriki kupigana katika vita vya Badr,

Dua hiyo huwa ina majibu ya haraka sana kama inasomwa kwa ikhlas, na ni kwamba Allah uwa anaijibu punde tu kama jambo linalokusudiwa lipo kwenye haki, na kuna dhulma imefanyika,

Mtume Muhammad (Saw) anasema dua ya mwenye kudhulumiwa huwa haina pazia baina ya dua hiyo na Allah, tutarajie majibu ya haraka sana kama kweli dua hiyo itafanyika.

Madhara ya dua hiyo ni kwamba watu waliohusika, waliochangia mawazo, kifaa kilichotumika wote watapata madhara, na ndio maana dua hiyo waislam uwa tunashauriwa tutumie Busara kuisoma maana inaondokaga na wengi.

Assallaam Alleykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Jamani hii kitu Albadir usiombe ikutokee bora uione kwa mtu mwingine tu ! Unaweza ukabisha kuwa haina ukweli lakini matokeo yake huwa yanakuja pole pole sana lakini ya maumivu makali ! Mi nimewahi shuhudia tena hapa hapa Tanga maeneo ya pangani usiombee aisee watu walipukutika kama majani ! Tusubiri tuone tu !! Uzuri wa Albadir haimuonei mtu inatenda haki !
 
Nakumbuka nikiwa shule kuna jamaa aliibiwa hela zake.

Watu wakaambiwa warudishe mkwanja wa mshkaji hakuna mtu aliyerudisha hela.

Kesho yake ahlul badir ikasoma bwana. Sasa wale wenzangu na mimi tuliokuwa ndio kwanza unaisikia ahlul badir tukawa tuna wasiwasi tuu..

Baada ya kumaliza tukasubiri tuone hata mtu akigeuka kichaa...waapi..

Siku ikapita..

Week ikapita...

Mwezi ukapita....

Mwaka ukapita nao...

Nakumbuka tulimaliza shule bil kuona lolote.. na hela haikurudishwaga.

Nahisi hiki kitu Allah hapendezwi nacho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom