Ni lini mtatosheka muache kuwakamua underground hapo Clouds?
:A S 112:Ni lini mtatosheka muache kuwakamua underground hapo Clouds?
wanywa gongo utawajua tuNi lini mtatosheka muache kuwakamua underground hapo Clouds?
NGoja niwe a hater kidogo , Huyu kafungua Mgahawa, yule kaanzisha Lotion yake , na yule Kaivest zaidi ya 100 million kwenye Bongo movies , wale mamiss wawili walikua na trip za USA kwa wakti tofauti na huyu mmoja alitaka hadi kuhamia USa ila nadhani uteja ulimkataa . hawa mademu kuna mkono wa kigogo?,Ila Hongereni sana kwa kuweza kujisarimisha !
Umetumia Code sana mpaka umepoteza maana lotion?Sio maji!!Nani kainvest 100 kwenye bongo movie...all in all wote ni wajasilia mali na inapendeza kwa sasa kwa kweli....kuona mchanganuo mzuri wa faida na kujituma waliko kuwa wanafanya muda wote..Jide anaimba..mumewe yuko kwa gate anakusanya faranga....ushirikiano mzuri sana.
Nikiwa kama mpenda maendeleo nawapongeza sana kwa juhudi zenu za ziada.
Ni kati ya wanandoa mfano wa kuigwa.
NB: Thanx anko michuzi.
biashara na ndoa...hapo kuna uhusiano gani?Ni kati ya wanandoa mfano wa kuigwa.
Mi mwenyewe nawapongeza sana kwa maendeleo waliyonayo.
Jide na Gadna kazeni buti ili muwe role model kwa vijana wetu wanaofanya kazi za sanaa hapo nyumbani Tanzania. Nawaomba wana bongo fkavour na waigizaji igeni mifano hii ya Lady JD na Gadna
Inanifurahisha sana watu wanaposema Jide na Gadna, nimeangalia posti zoote hamna hata mmoja aliyesema Gadna na Jide! Hivi huwaga ni bibi na bwana ama bwana na bibi?? Just my observation