Sole Proprietor
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 223
- 254
Mbona Inaweza pia kuwa Mbowe ndio pace maker?
Kwenye siasa unaweza kuwa kiuongozi mzuri lakini watu wanaangalia mvuto.
Je, kati ya Mbowe na Lisu nani ana mvuto zaidi kwa sasa? Majibu yako wazi.
Go, Go, Go, Chadema.