Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

MUNGU HASHINDWI NA SHETANI HATA SIKU 1, sauti ya UMMA ni sauti ya MUNGU
Haya mameno nimezoea kuyasikia kwenye mikutano ya injili ya kakobe na mzee mzee wa upako, sasa sijui kwenye siasa yanaingia vipi!
 
Arusha tumezoea mabomu hawatutishi ati na pia ugomvi ni jadi yetu kwa hiyo hakuna noma. Kama wewe ni mzaliwa ARS alafu huna Ngeu wewe ni k tuu maN
 
acha sera za kizaman ww
 
0:A S angel:
 
nime umia sana! lakini najua haki yetu haiwezi kupotea!
 

Naunga mkono ushauri huu. Upokelewe na ufanyiwe kazi. Nami ninaimani ni vigumu kwa jimbo la Arusha kurudi CCM lakini tusipuuze mawazo maana ni kati ya changamoto zinazotegemewa kuwapo.
 
shame on them kuanzia washitaki, jaji na mafisadi wamemuhukumu Godbless Lema siku ambazo Kristu anaianza safari ya Golgota na siku ya tatu akafufuka na hiyo ni ishara ya ushindi
 
SAWA NIMESIKIA SALA ZAKO NITAWALIPA SAWA:rockon:
 

Kayoka,
Hutuwezi kuchukizwa na matusi ya Lusinde halafu tufurahie matusi ya Lema...sidhani kama Lema kaonewa, maneno yake ndio yamemfikisha hapo kajifunza uchaguzi ujao anafanya kampeni za kiungwana.
 
*****..
 
kweli CCM wote mapunguani, kwani M4C inaishia leo? halafu wamesahau kuwa CDM hawana fedha wana watu.
 
Kayoka,
Hutuwezi kuchukizwa na matusi ya Lusinde halafu tufurahie matusi ya Lema...sidhani kama Lema kaonewa, maneno yake ndio yamemfikisha hapo kajifunza uchaguzi ujao anafanya kampeni za kiungwana.

Toa ushahidi (audio/visual) wa matusi ya Lema!!

Ushahidi wa matusi ya Lusinde hupo, nenda Youtube utajionea na kusikia!!
 
Tuache Ushabiki Jamani.Nimekuwa Arusha mara kwa mara .Katika utafiti wangu nimejua LEMA anapendwa sana.Yeye hawagawii watu hela wala nini lakini ANASHUKA CHINI na yuko na watu.Hata katika matatizo yao,anawapa moyo wa kushinda.LEMA anapendwa mno.Tena hili la kumnyang'anya mtu aliyeshinda kwa kura ya Zaidi ya Elf 20 kwa kutumia mahakama ndipo kutamwongezea credit.

Hii kutokukata rufaa ndo kunaongeza credit zaid,anapata sympathy ya wananchi.Alafu kitendo cha kumpokonya ubunge kinatia wananchi wake hasira.

Arusha mtu akipita na nguo ya CCM anazomewa.

Ukitaka kuona jinsi lema anavyopendwa angalia sakata la madiwani.Wananchi wamemsikiliza LEMA zaidi.Nilienda Amri Abeid stadium kipindi kile madiwani wamefukuzwa,ilikua mechi ya SIMBA.Akaingia Bayo (Diwani mmojawapo aliyefukuzwa),Kilichotokea ni JUKWAA zima kuanza kumzomeaaa,wanasema CCM ,Fisadi huyoooo,Msalitiiiiiiiiiii.Jamaa ikabidi achague mtu mmoja akapigana,Polisi wakamtoa.Guys,LEMA kwa arusha ni next level.
 

Muulize uyo mtani wako, vipi kuhusu M4C???
 
Ntabiri kura za CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la arusha mjini: Watapata si zaidi ya kura 2000!!!

Eeeeh,Mungu endelea kuiumbua CCM ili ifikapo 2015 itoweke kabisa.
 
Nilikua niko mbali kidogo kwenye haya mambo,lakini kidgo kidogo naanza kuvutiwa na mambo ya siasa............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…