GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
Kuna watu wengine wamemfanya Mungu kama mjomba wao..........
Wanasema uzinzi dhambi wanasahau hata kusema uongo tu ni dhambi sawa na uzinzi.
Kwangu mie ni heri nifanye dhambi ya uzinzi (si nnafaidi bana) kuliko kusema uongo afu tukapata adhabu sawa jehanamu huko.
Kutamani nako ni dhambi....kwanini utamani upate dhambi badala ya kufaidi kabisa ili kieleweke?
Baada ya kusema hayo, ngoja nirudi kitandani kutafakari dhambi gani iliyo kubwa kati ya uzinzi na uasherati
Hii sredi bana..........kupenda tunavyopenda, hizi kingo ni za nini?