JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:

Mashallaaaaah binti Fabulousity!! Bichwa langu limeumuka maradufu....:A S crown-1::teeth:
 
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:

Asante Fab:

WoS imekubalika na alishapendekezwa. Kwa hiyo ana kura mbili tayari.

NN & Field Marshal (Wazee Wa sauti Ya Umeme) unamchagua nani hasa? Bado haiko clear.
 
Asante Fab:

WoS imekubalika na alishapendekezwa. Kwa hiyo ana kura mbili tayari.

NN & Field Marshal (Wazee Wa sauti Ya Umeme) unamchagua nani hasa? Bado haiko clear.

Wewe nawe nini bana....mwenzio keshasema ananipendekeza mimi kwa sababu ananipendaga....sasa wewe unaleta habari za FMES tena...aaaagh
 
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:

NN kwani kakupendekeza wewe au FM?

Crystal clearly and unequivocally......what else do you want sir?
 
Wewe nawe nini bana....mwenzio keshasema ananipendekeza mimi kwa sababu ananipendaga....sasa wewe unaleta habari FMES tena...aaaagh

Duh! Nimecheka mpaka basi.

Ila Mkuu hairusiwi kufanya kampeni. Haya naona una kura 2 tayari kama WoS.

Hakyanani kuna kila aina za ID zitaibuka safari hii.
 
ZD nitalifanyia kazi pendekezo lako.

NN hakukutumia PM umependekeze? Maana tayari alishasema kuna mtu atampendekeza.

Bila shaka pendekezo limekubalika.

Nimetoa mapendekezo kadhaa.lipi utakalolifanyia kazi?
Kuhusu NN kutuma PM hapana,nimempendekeza kwa ridhaa yangu na nimetumia haki yangu ya kidemokrasia..
 
Nimetoa mapendekezo kadhaa.lipi utakalolifanyia kazi?
Kuhusu NN kutuma PM hapana,nimempendekeza kwa ridhaa yangu na nimetumia haki yangu ya kidemokrasia..

Asante ZD. JF Mpaka raha. katika zoezi hili tunaenda kwa imani.

JCCB (PCCB) wako kazini pia. Watakaochakachua itakula kwao.
 
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:

asante kwa kumuona WOS.
hapo kwa Ngabu hahaa ngoja nicheke kwanza,NYANI NGABU U R UNSTOPABLE mjomba.LOL
 
Huko ni kutafuta Takukuru.mie simo....uchaguzi huu ni huru na wa haki..

Weee waache tu, hawajui kama kuna MODs wa Uchaguzi wanafanya kazi ya JCCB. Ushahidi ukipatikana tu wakatolewa kwenye King'ang'anyiro wasije wakaanza kudai wamechakachuliwa. LOL
 
Hehehehehee.....girl I tell ya.....sometimes I wonder about myself too...[/QUOTE]

LOL,
Yaani mie nilikua namuwazia mtu mwingine kabisa ambaye ndiye nilikua na uhakika atakupendekeza lakini mara naona cjui Fab from no where akidondosha pendekezo.
 
Mkuu Superman napenda kuwapendekeza Pasco kwa wanaume na FistLady1 kwa wanawake.

-Uchaguzi wangu kwa Pasco ni kwa sababu amekuwa mtoaji habari muhimu na amekuwa anafuatilia kujibu post zake anapotakiwa kufanya hivyo.Nimemuweka katika kundi la Wanaume kwa sababu nafahamu jinsia yake.
-FirstLady1 naye nimevutiwa na uandishi na ushiriki wake katika thread nyingi,nimemchagua katika kundi la wanawake kutokana na Jina lake.Ataniwia radhi kama yeye ni mwanaume.

Kuna wanachama wengi navutiwa na post zao,lakini kwa sababu moja ama nyingine sikuona busara kuwachagua ktk kinyang'anyiro hichi.Watu hao ambao nawasoma mara kwa mara na uwepo wao hapa ni muhimu ni pamoja na Mwanakijiji,Nyani Ngabu,WOS,Mwanajamiione,Halisi pamoja na Dr Slaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom