JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Anachangia nini nalo nijamboa la kuangaliwa..sio mtu kila kukicha kwenye jukwaa la ngono halafu awe man/woman wa jf.me namfagilia regia huyo ni poa si akina nanukiu hao...
 
Max Shimba yumo humu humu, hajaenda popote, fungueni macho mtamuona!

Abdulhalim, Buchanan, MaxShimba hawa jamaa huwa wananifurahisha sana maana wana utatu mtakatifu. Ukimkosa mmoja wao we waulize wenzake watakwambia mwenzao yupo wapi?
 
Abdulhalim, Buchanan, MaxShimba hawa jamaa huwa wananifurahisha sana maana wana utatu mtakatifu. Ukimkosa mmoja wao we waulize wenzake watakwambia mwenzao yupo wapi?
Wewe angalia yasikukute yaliyo wakuta wafuasi wa CCM, kufananisha watu na utatu mtakatifu... Oooh! Shauri yako.
 
Hatimaye nimepata picha, jina halisi la MS, mtacheka na kuvunjika mbavu, ni tofauti kabisa na nilivyotarajia kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Nimemwandikia msimamzi wa JF anipe ruhusa niibandike hapa nasubiri hicho tu....
 
Man i dnt think this is a good idea, am not fun with Malaria Sugu ideology and comments.But let him live his life if ur appreciate him that is good but being cool means he want to remain anonymous.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom