JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ntambaswala, Aug 7, 2010.

?

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

Poll closed Dec 11, 2010.
 1. Acid

  23 vote(s)
  40.4%
 2. Kiranga

  12 vote(s)
  21.1%
 3. Nyani Ngabu

  22 vote(s)
  38.6%
 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwako Malaria Sugu,
  Kwa kweli nimekuwa nikivutiwa sana na uwezo wako katika kukabiliana na hoja za wapinzani wako au niseme wachangiaji wasiokubaliana na hoja zako. Huna hasira, unajibu kwa kifupi na unajua kuanzisha mada chokonozi.

  Kwa kweli MS umefuzu vema katika fani yako hii ya propaganda. Japo hoja zako zaweza kuwa sio sawa upande wangu lakini uwezo wako wa kuziwakilisha katika namna ya kukera na kuudhi unajimudu vilivyo.

  Kwa kuwa mimi ni mwanajamvi ambaye bado ni ''learner'' sana nahitaji sana kujifunza mengi toka kwako, maana nataka unifundishe huo ujasiri (sio hoja zako). Sijui kutuma hiyo mnaita PM sijui.. kwa hiyo nakuomba unielekeza naweza kukuona vipi ana kwa ana. Au kama unaweza kunipatia namba yako ya simu. Kwa vile wewe unajua ku pm basi naomba kama hutapenda kunijibu hadharani ni pm basi ili tuonane mkuu.

  Nimeweka hapa kwa vile najua ni watu wengi watapenda kufahamiana na wewe na kupata huo utaalmu wako wa propaganda
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kuna CHIZI mtaani kwetu. ni maarufu kuliko sisi wote maana huwa anafanya mambo yake bila kuogopa mtu tena hadharani. hajawahi kukasirika watu wanapomhurumia jinsi anavyochakura-chakura majalalani. Tumeshauri ndugu zake wamsitiri ili kuficha aibu maana aibu si yake bali ya nduguze.
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Busara yako ni aina yake. Thank you
   
 4. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera sana,kwahiyo pale mbowe aliposema mgombea wao ni maarufu kuliko Kikwete alimaanisha.....(ya hapo kwenye nyekundu)teh..teh..teh Mwaka huu machizi wengi!
   
 5. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,344
  Trophy Points: 280
  Msanii nidai kiombe cha chai !
  Pale mtaani kwetu yupo jamaa analewa na kujikojolea kila siku anaitwa Mpogolwe,ni maarufu sana,hata watoto wa chekechea ukiwauliza wanamjua.
  Mimi nikishaona hoja ni MS huwa sichafui macho yangu kusoma hata kama ni herufi 2. Anayejibu hoja za MS naye ni MS kiaina.:disapointed:
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kwa hiyo unamlinganisha Malaria Sugu na Chizi!? Sidhani, mimi siyo supporter wa Malaria Sugu, lakini kusema ukweli the guy is smart. Katika post zake zote amejitahidi sana kutoa majibu ya kuudhi na kukera sana pasipo kutumia lugha ya matusi wala kukiuka taratibu za JF. Huyu ni mtu makini sana. Na inawezekana wengi wetu hatujamjua, but anao uwezo mkubwa sana wa kuteka akili za watu na kuzielekeza kule anakotaka yeye. If he is a member of Intelligence system and is trying to collect information for his boss, I would say he performed his duty perfectly. He deserve another cheo. He makes some short and annoying replies which activates somebody to say all what he/she has. Ndo unamwita chizi huyu?
  Kuna watu kama Tumain na Junius ambao wamekuwa wakimsupport MS, lakini hakuna hata mmoja kati yao ambaye amemfikia MS kwa umakini wa kutoa kauli za kukera na kuudhi lakini zenye maana.
   
 7. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Umeajuaje kuwa wengi watapenda kufahamiana na huyu unayejikomba kwake?Sifahamu jinsia yako but all I can advise you is to be careful...
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  so you need a mentor kukufundisha kukera ,kuuzi,kuchokoza watu hapa.........hatari haya ndio uhuru tunaita.
  anakera kama all idota wanavyokera so that no good
   
 9. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi,
  Ninaanza kugundua kuwa hapa watu wanajibu posts bila kuchambua kwa makini kabla ya kuzijibu. Wakati fulani ni vizuri kuelewa maana/lengo ya ujumla la mtu anayepost hoja kuliko kuangalia maana ya neno moja moja katika sentensi.

  Nashukuru kuna watu wameweza kubaini nini nakitafuta mmojawapo ni Lukolo. Malaria Sugu sio mtu wa kawaida ninasoma kila posti yake nimebaini ni mtu mwenye weledi wa hali ya juu sana na kila analoliandika basi huweza kuhisi hata majibu ya watu watakaomjibu hivyo anaandaa majibu tayari.

  Nina imani yeye mwenyewe amenielewa ndio maana hajajitokeza bado Ieleweke sipendi kabisa hoja zake ila namna anavyojibu. Wakenya wengi hawampendi kabisa spin doctor wa serikali ya Kibaki Dr. Mtua ila wanakubali kuwa jamaa anajua kujibu hoja na kukwepesha mambo japo anachojibu kinakuwa sio cha ukweli. Ndicho nachosema kuhusu Malaria Sugu
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Aug 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nimecheka mpaka basi...
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhh
   
 12. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Teh teh teh...
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kweli hili Kichwa la Maralia Sugu loh .......
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  muundo wa sentensi zako unaonyesha na kudhihirisha kuwa wewe Ntambaswala ni malaria sugu in another coat. shame on you!!!!!!
   
 15. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  MS celebrity wa pemba
   
 16. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  nimejaribu kuangalia tunaowaita maceleb hapa nchini huyu MS nae anaweza kuwa miongoni mwa hao maceleb...
   
 17. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Duh..hajafika kuchangia...!!?
   
 18. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  MS ana lake jambo. Hata siku moja haonyeshi kuhamaki, yeye anakurushia tu taratibu uchemkeeee, utoe yaliyo moyoni.
  By the way, mbona hujaja kujibu hoja hadi sasa?
   
 19. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu MS ni mtu mwenye fikra sahihi na ni mtu mwenye kujifunza tabia za watanzania,anapenda sana kupambanisha wana jamii kwa majibu yenye kuleta hasira kutokana na serekali iliyoko madarakani.
  Kwa jinsi nilivyomsoma,huyu ni mtu hatari sana kwa sababu akitoa mada ni upande wa serekali iliyoko madarakani na kuonesha kuwa yeye ni mtu wa ccm lakini sivyo kabisa,wakati mwingine huonesha kama ni mtu wa CUF lakini anabadilika badilika kama kinyonga.

  Inawezekana anajaribu kuamsha hasira kwa Watanzania waweze kuelezea jinsi serekali ya Tanzania ilivyochafuka kwa mgongo wa ccm.
  Sasa kazi kwako kupambambanua yaliyo kweli na yaliyo pumba.
  Ili mtu ajue una tabia gani lazima akuchokoze bila kutaharuki utamwangushia hasira zote na matusi yote ya nguoni kumbe yeye anajifunza kitu kwako.

  Ni ukweli usiopingika,Tanzania inahitaji mapinduzi ya kisiasa,bila mapinduzi ya kisiasa hakuna utendaji bora serekalini,hakuna nidhamu ya utawala bora.Kila secta ya serekali wafanyakazi wamelala lakini rais halioni hilo,na si kwamba anapata data kamili,wanamficha Rais hali halisi ya watendaji serekalini.

  Watanzania tumeshabandikwa jina la "waoga" tukitishwa nyau kidogo kila mtu anakimbilia ****** kujificha.Mapambano ya kujikomboa ni kujitoa mhanga na siyo lelemama,rejea kauli za Mh Mbowe.Hata JK anazijua hizo.
   
 20. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  si useme tu akuoe...!
   
Loading...