JF Udaku: Toleo la Mei 2012

JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Swaiba swaiba, naona umeamua kunichafulia Siivii yangu.. Kwanza wewe na Rejao sijui mmemfanyia nini Mphamvu mpaka kaamua kubwaga manyanga..
TANMO swaiba unajua kbs mie na mme wangu Rejao wala hatuhusiki na uondokaji wa Mphamvu

Kwa ishu ya Preta wewe mwenyewe unajua namna unavojibananisha hadi kakangu mtu chake anakosa amani,fanya mpango nawe uwe na wako lol!
 
Last edited by a moderator:
Aisey! Kongosho pls haijapita wiki tumetoka kuuza banga letu la urithi, so far sina wenga kuhusu rare ! Jana nilikua na kikao na wanasheria wangu wafanye mchakato nataka kuinunua Jamii forum, Na Husninyo mara baada ya kupata fununu nataka kuinunua Jf, kanipigia akitaka turejeshe Ndoa, sijampa jibu.
Erickb52
Kongosho
BAGAH
Nicas Mtei
Nafikiria kuwapa u'MODS , ikiwa nitainunua Jf.

Mikataba ipo. Naskia uuzaj wa lile jengo una utata hvyo kesi ipo mahakamani. Je ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
.. Cantalisia kuiwakilisha JF BIG BRAZA mwaka huu...je nani ataambatana nae?
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi wetu Erickb52 aliendelea kufafanua kwamba Loya huyo ambae aliamua kutinga eneo la tukio akiwa kavalia suti la kofi olomide na sweetlady akiwa kavalia pajama la taiwan walionesha zahiri nyuso zao zikiwa na furaha ili kuwajump roho wapinzani wa penzi lao
Hahahaha!
 
Last edited by a moderator:
yathibitika:
kumbe Kongosho ni ngariba!
Kudadadadadeki ccm oye.
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit-Chat naomba kuwahakikishia habari ninazozitoa kuhusu hili tukio na klorokwini na sweetlady pale guest house ya Sisi Kwa Sisi....
Mimi nikiwa kama mmiliki wa Glosary iliyo karibu na guest hiyo nilienda kuchukua daily bread ndipo nilipowaona wakitoka humo...Lol
Niliumia sana kuona nitonye kasalitiwa kiasi hicho
Khaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya fununu za muda mrefu Bishanga atangaza rasmi "hawezi kula wala kulala" bila kumpata Lizzy.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ishu ya Preta wewe mwenyewe unajua namna unavojibananisha hadi kakangu mtu chake anakosa amani,fanya mpango nawe uwe na wako lol!
Swaiba Laiti ungelijua.. Tatizo Preta hataki kabisa kukubali mimi nijiweke pembeni. Mi nna Jimama langu huwa linanibemenda taratibu, sijui Mtu Chake anashindwa nini mpaka Preta ananing'ang'ania kiasi hiki.. Badala ya kuhangaika na mimi Nakushauri umshauri Mtu Chake ajichunguze. Lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom