JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Shark, firstlady hamna?

Ngoja siku moja laisi atoke na shumizi nje ndo mtajua umuhimu wa firstlady.

Baada ya juhudi kubwa za kuirekebisha serikali iliyoko madarakani kushindikana, Hatimae JF yajitangaza rasmi kua Jamhuri huru inayojitegemea baada ya kujitenga na Tanzania,

Rais ni M. Melo,

Mods kua mawaziri,

Members kua wabunge,

Guests kua wananchi.
 
Last edited by a moderator:
Mazungumzo kati ya ritz na mbowe kuhusu kujivua gamba na kuvaa gwanda yaiva. Habari zaidi toleo lijalo......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom