JF Udaku: Toleo la Mei 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, May 3, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele:

  --Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa:
  -Yupo Mod Maarufu wa Kike.
  -Smile naye alilia penzi la Kibabu kijijini.
  -Kimwana manywele wa Jei Efu aapa kujipa life Ban baada ya Kibabu kumlaghai na kisha kuingia mitini.
  -Babu Asprin, Bishanga, DC watajwa.

  --Baada ya JK kutangaza nia ya kuvunja Baraza la Mawaziri:
  -Babu Asprin ajifanya mtaalmu wa kusafisha nyota.
  -adai anatoa pete ya kumfanya mtu kuwa waziri.
  -watu maarufu kibao wafurika nyumbani kwake.
  -Yumo pia Mzee Mwanakijiji.

  --Mtakatifu Ivuga amsababishia Mwali kulala Selo, ni baada ya kukopa Gongo ya mama muuza na kisha kuingia mitini. Mwali aapa kujivua pendo.

  --Baada ya kugundua kuwa Amyner ni dada yake toka nitoke, Bagah ampigia magoti Erick52 apunguze tabia yake ya ukware. Yasemekana wanafahamiana jinsi wanavyoharibu watoto wa watu.

  --Baada ya kuonjeshwa penzi la Cantalisia, Mphamvu aapa kumpindua Rejao. Canta akesha akiomba kikombe hiki kimpite pembeni, Rejao aapa kumshusha mtu Busha.

  --Lile sakata la Vibabu vya Jei Efu laibua sura mpya. Vibibi navyo vyaapa kulipiza kisasi na vijana wa Jei Efu. Loya Klorokwin achekelea.

  --Imegundulika: kumbe Golden Mpolee ni Dume, yasemekana ni fundi Gereji pale Tabata. Mwenyewe aingia mitini baada ya siri kufichuka. --Ban la Lizzy laleta mzozo, ni Baada ya Nyara za Serikali Ngabu na Bishanga kutaka kuzipiga hadharani.

  --Mtu Chake alia kuteswa na Preta. Adai kila siku anapigwa na wakati mwingine analala njaa. Atoa wito zianzishwe Asasi za kutetea haki za wanaume.

  Mapendo.
  TANMO
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kongosho
  . . Konnie afumaniwa live, ni baada ya kubogewa na kibuzi hivyo kusahau kuchukua tahadhari.

  TANMO
  . . . ajikuta matatani kwa kutoa habari zisizo rasmi kumhusu Nyani Ngabu na Bishanga. Wenyewe wadai hawawezi kumgombani Lizzy!!

  klorokwini
  Kwa mara kwanza lawyer maarufu wa JF ajikuta matatani, ni katika harakati za vibabu vya JF kujiosha na "It wasn't me" baada ya bpmu alilolipua Husninyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  TANMO mbona ilikua poa tu?!
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kila nikijaribu kui-edit naona inabaki paragraph moja kuubwa,, labda ni tatizo la Kompyuta yangu hapa..
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Lizzy alonga, yaliyotokea Unga LTD hatayasahau.
  Bishanga awa kibogoyo, ahamia mchele LTD.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  --Kongosho agonganisha Mabwana, mmoja afyata mkia baada ya kuona mwenzake ni Baunsa,, adai alikuja kumsalimia Dada yake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Baada ya kumaliza kifungo (BAN) Lizzy Aapa kuwa Raia mwema wa JF. Asema aliyoyaona huko ni balaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Jei Efu Udaku Toleo la Mei lazua balaa. Inbox ya TANMO yajaa ghafla PM kutoka kwa Lizzy,, zote ni kumuomba TANMO asitoe habari zake kwa madai kwamba kuna Kabuzi amekapata. Ahofia kibuzi chake kumkimbia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. M

  Mama Ashrat Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heheheheeh!!Aisee.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi msomaji tu leo......
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  --Mama Ashrat alilia penzi la PAW, adai anataka ajiepushe na Ban ndani ya JF..
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mama ashrati ,mamaa kungwi wa jf eti unajua kitu kinaitwa miski?
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  --Smile agoma kutolea ufafanuzi madai ya kulilia Penzi la Kibabu Kijijini. Alipobanw zaidi asema: Mimi ni mtazamaji tu
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona unashangaa we mmama..
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhhhh hii kali balaaa...
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahah. . .hivi TANMO tunaruhusiwa kujisafisha au mtu akishachafuliwa ndio basi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, hatimae Lizzy afumwa kwenye kaburi la kanumba laivu akicheza kiduku bila nguo, habari zaidi uk 3
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. M

  Mama Ashrat Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wewe usije ukanletea balaa,baba Ashrat wangu yupo humu humu.
  Hapana Smile, labda unifafanulie kidogo maana pengine jina ndo silipati.
   
 19. M

  Mama Ashrat Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  ndetichia, nimefurahi tu mwenzangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Shabhan

  Shabhan JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...