JF Udaku: Toleo la Mei 2012

JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Aisey! Kongosho pls haijapita wiki tumetoka kuuza banga letu la urithi, so far sina wenga kuhusu rare ! Jana nilikua na kikao na wanasheria wangu wafanye mchakato nataka kuinunua Jamii forum, Na Husninyo mara baada ya kupata fununu nataka kuinunua Jf, kanipigia akitaka turejeshe Ndoa, sijampa jibu.
Erickb52
Kongosho
BAGAH
Nicas Mtei
Nafikiria kuwapa u'MODS , ikiwa nitainunua Jf.
 
Last edited by a moderator:
@Kloro,habari zilizotufikia hivi punde zinasema ile hali ya loya @Klorokwin kuwa single mda mrefu imebainika ni kutokana na kuexpaya kwa kitendea kazi chake,hali hiyo imempata baada ya kukaidi onyo la nitonye la kuacha kummendea mai waif wake sweetlay.....,habari kamili uk 7.
 
Dah ukinipa u mod nawatafuta wote waliomsababishia shem Husninyo kujivua umember...nitawapa ban ya miaka 3
 
Last edited by a moderator:
@Kloro,habari zilizotufikia hivi punde zinasema ile hali ya loya @Klorokwin kuwa single mda mrefu imebainika ni kutokana na kuexpaya kwa kitendea kazi chake,hali hiyo imempata baada ya kukaidi onyo la nitonye la kuacha kummendea mai waif wake sweetlay.....,habari kamili uk 7.

Pia katika kutafuta ukweli mwana JF wetu Cantalisia alikitolea kumpa klorokwini tamtam ili aone ukweli na klorokwini aliishia kuchekacheka badala ya kufanya kazi lol
 
Last edited by a moderator:
VARANGATI JF MODS: WATWANGANA
- Paw na Fang wazichapa kumgombea sekretari wa ofisi
- Buchanan aumia jicho akijaribu kuwaamulia
- Invisible akasirika na kuahidi kuwachukulia hatua
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nipite kama sijaona.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
@Kloro,habari zilizotufikia hivi punde zinasema ile hali ya loya @Klorokwin kuwa single mda mrefu imebainika ni kutokana na kuexpaya kwa kitendea kazi chake,hali hiyo imempata baada ya kukaidi onyo la nitonye la kuacha kummendea mai waif wake sweetlay.....,habari kamili uk 7.

Pia katika kutafuta ukweli mwana JF wetu Cantalisia alikitolea kumpa klorokwini tamtam ili aone ukweli na klorokwini aliishia kuchekacheka badala ya kufanya kazi lol

Dah! nashauri gazeti lifungiwe kwa muda. khaaaa!
 
VARANGATI JF MODS: WATWANGANA
- Paw na Fang wazichapa kumgombea sekretari wa ofisi
- Buchanan aumia jicho akijaribu kuwaamulia
- Invisible akasirika na kuahidi kuwachukulia hatua
Wakati huo huo habari zilizotufikia hivi punde kutoka ofisi za Mods zinasema baada ya kutokea hilo varangati RussianRoulette amewapiga ban Mods wote waliotajwa hapo juu na haijajulikana ni ban ya siku ngapi...
Nitaendelea kuwaletea yanayoendelea....stay tuned!
 
Last edited by a moderator:
Breaking nyuzi, RussianRoulete apigwa ban ya milele na Maxence Melo.

Max ampa Kongosho usimamizi wa PM zote.

Wakati huo huo habari zilizotufikia hivi punde kutoka ofisi za Mods zinasema baada ya kutokea hilo varangati RussianRoulette amewapiga ban Mods wote waliotajwa hapo juu na haijajulikana ni ban ya siku ngapi...
Nitaendelea kuwaletea yanayoendelea....stay tuned!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuachika Lizzy afungua thread ya kutafuta mwanamme mwenye mvuto mmu,kura yaangukia kwa nitonye mzee wa mererani sweetlady atishia kufakamia sayanaidi.
 
Last edited by a moderator:
Rejao aibuni.

Yule memba mashuhuri kwa urefu wa pua lake anaekwenda kwa jina la rejao jana amejikuta akiabika mbele ya umati uliohuzuria sherehe ya aniversary ya ndoa yake na Cantalisia. Memba huyo katika kutaka kuonesha mbwembwe mbwembwe za sherehe hiyo aliamua kumbeba Cantalisia ambae kabla hata kumfikisha usawa wa magoti alijikuta anaanguka nae na kuteguka kiuno. Rejao ambae uzito wake hauzidi kilo 50 alijikuwa anakuwa kituko katika hafla hiyo kwa kumuinua jimama huyo ambae mpaka tunakwenda hewani na habari hii basi habari za kilo zake halisi zina utata

hahaahaha...lol.
:behindsofa:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom