JF Udaku: Toleo la Mei 2012

JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Duh, naona upepo unanigeukia mimi.. Preta hebu njoo ukanushe hizi kashfa dhidi yangu huku, Heshima ya Mhariri ikishuka hakuna mtu atapona Wallahi...
 
Swaiba Laiti ungelijua.. Tatizo Preta hataki kabisa kukubali mimi nijiweke pembeni. Mi nna Jimama langu huwa linanibemenda taratibu, sijui Mtu Chake anashindwa nini mpaka Preta ananing'ang'ania kiasi hiki.. Badala ya kuhangaika na mimi Nakushauri umshauri Mtu Chake ajichunguze. Lol

mh..sina..tatizo wewe TANMO..ila nasikia ulionekana kwa Manyaunyau ukichukua dawa ya mvuto wa kimapenzi ..ili Preta akupende...ndio hicho kinamfanya bebii wangu beki zisikabe kwako..ila nami narudi kwa dogo dogo wangu...tena kama vipi tumpige chini..maaana mbabaikaji sana huyu binti wa Yaeda Chini
 
Last edited by a moderator:
wenyewe wanasema Every day we take one step ahead..... Bahati mbaya hakuna member nimjuae kwa undan.
 
mh..sina..tatizo wewe TANMO..ila nasikia ulionekana kwa Manyaunyau ukichukua dawa ya mvuto wa kimapenzi ..ili Preta akupende...ndio hicho kinamfanya bebii wangu beki zisikabe kwako..ila nami narudi kwa dogo dogo wangu...tena kama vipi tumpige chini..maaana mbabaikaji sana huyu binti wa Yaeda Chini

Poa Mkuu wewe mpige chini, mimi nitampiga chini baada yako..

ninatangaza kujiua.....

Preta hebu sogea kwangu Bebii, hii maneno kujiua hebu achana nayo Bana, tule raha kama zamani..
 
HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya Kongosho kuchoropoa mimba ya Asprin,mmewe ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia Asprin maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko icu

--Kuna tetesi kuwa Bishanga yuko hoi taabani I.C.U baada ya kupigwa kibuti na Binti Kigori Lizzy,, ashangaa ujasiri wa huyo Binti kumkataa pamoja na kuahidi kumfungulia Pub... Kutokana na uenyeji wake huko I.C.U Madaktari wamempa jukumu la kupokea Taabani wenzie na kutoa Ripoti za nani kaingia, nani katoka.
 
Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo alifungia jf udaku,ni baada ya mhariri wake TANMO kufumwa aki hack mailbox ya Lizzy.
 
Last edited by a moderator:
Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo alifungia jf udaku,ni baada ya mhariri wake TANMO kufumwa aki hack mailbox ya Lizzy.

--Bishanga maji shingoni, ni baada ya JF Udaku kuanika siri zake za kumendea Mabinti wadogo.. Mkewe amjia juu, yasemekana analala stoo kukwepa kichapo cha mkewe..
 
..Na mwandidhi Mdaku...hatimaye. TANMO akutwa makaburini Mburahati...akifanya vitendo vya kishirikina ili mabinti wa JF hasa Preta..ampende..inasemekana amefanya hivyoo baada ya kuona yule shuga mamii wake kumkimbia....picha na maelezo kamili ukurasa wa 9...
 
Mtu Chake si umeshamwaga Preta?
Hebu jiweke pembeni basi wengine tujinafasi.
Habari ya Jimama tuiache kwa sasa, manake ndo linaniweka mjini..
 
..Dogo vipi. TANMO...we ulisikia wapi mwanamke anaachwa...?...na nina mpango wa kukuchorea kwa jimama lako...
 
Last edited by a moderator:
klorokwini aangusha bonge la pati
-kwa kuchaguliwa kuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum
-adai dawa za babu wa ukerewe zafanya kazi
 
BADILI TABIA apata mchumba wa kinaijeria fesbuku.
Mwandishi wetu ambae ananyaka habari kwa vifaa vya kisasa vya blue tooth ametunyetisha kwamba yule memba anaekwenda kwa jina la badili tabia hapa JF amefanikiwa kumweka kibindoni mnaijeria mmoja ambae anapenda kuweka kalkiti zaidi hata kuliko ugali wa fufu. Gazeti hili lilifanikiwa kumvutia uzi mnaijeria huyo na alisibitisha yafuatayo.

" Ni kweli mimi na badili tabia tulikutana kanisani na tukatoleana sadaka sku mbili tatu halaf tukapeana akaunti za fesbuku na halaf ndio tukagundua kumbe chemistry yetu na baioloji yetu zinaendana na hapo ndio tukamwamuru pepo atoke kwa vitendo na sasa tunasubiri siku ya ndoa tu" akamalizia kwa kusema aleluyyah
 
HAhahaaahaa klorokwini, kuna hati hati toleo lijalo BADILI TABIA atalalamika kutapeliwa na mnaija wake loh......

BADILI TABIA apata mchumba wa kinaijeria fesbuku.
Mwandishi wetu ambae ananyaka habari kwa vifaa vya kisasa vya blue tooth ametunyetisha kwamba yule memba anaekwenda kwa jina la badili tabia hapa JF amefanikiwa kumweka kibindoni mnaijeria mmoja ambae anapenda kuweka kalkiti zaidi hata kuliko ugali wa fufu. Gazeti hili lilifanikiwa kumvutia uzi mnaijeria huyo na alisibitisha yafuatayo.

" Ni kweli mimi na badili tabia tulikutana kanisani na tukatoleana sadaka sku mbili tatu halaf tukapeana akaunti za fesbuku na halaf ndio tukagundua kumbe chemistry yetu na baioloji yetu zinaendana na hapo ndio tukamwamuru pepo atoke kwa vitendo na sasa tunasubiri siku ya ndoa tu" akamalizia kwa kusema aleluyyah
 
Last edited by a moderator:
Baada ya juhudi kubwa za kuirekebisha serikali iliyoko madarakani kushindikana, Hatimae JF yajitangaza rasmi kua Jamhuri huru inayojitegemea baada ya kujitenga na Tanzania,

Rais ni M. Melo,

Mods kua mawaziri,

Members kua wabunge,

Guests kua wananchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom