Bora nipigwe risasi!!!
Kongosho kumbe dume??mama yangu ndo maana PM zangu,hazijibiwi?mbona topic zake zakike?
Lizzy mwelewa sana,,,,ukimwingia kiakili anaingilika! labda ulienda kichwa kichwa!! Au siku ya kwanza tu ulitangaza ndoa??
Hayo matawi ya mnazi au ya kahawa?
sure maana kah!!MxProudly 2 in 1
Hodii ! Hapa naona wazee mpo veranda mnakula huku mkiendelea na mazungumzo yenu!
Namie nimetaka kunawa nile lakini naona chakula chenu ki'maalumu kwa wazee ! Nikataka ku'share story nayo ya wazee! Mie hata sijazaliwa! Nimekata kona!
Rejao apewa kipigo cha nguvu baada kufumaniwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina moja tu la Husninyo
Ya algae
Itakua. . .
mume wa mtu na mke wa mtu wakifumaniwa hakuna ubaya.
Chei chei Lizzy
Sight mirror yako imekudanganya hapa hata cha watoto utapata
Loh, Bishanga wewe....kunipeperushia ndege wangu mtarajiwa jamani??? Na humpati tena Lizzy,utabaki kufumaniwa tu uswahilini