valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 889
Imefahamika;
aliyepiga mbizi kigamboni alikuwa The boss.
kabla ya kupiga mbizi nguo alimwachia mwanadada aliyefahamika kwa jina la smile avuke nazo wakutane ng'ambo ya pili. chanzo chetu kinaendelea kutunyetisha kwamba smile alichelewesha nguo hadi mgambo wakamkuta uchi wa mnyama. Mia
mbona intelegensia niliyonayo inasema ni mimba ya Rejao?
ndugu yangu usitake nifungwe,publisher na copyright owner ni mdau Tanmo,bishanga ni ripota tu!To be frank, i hate tabloids coz they always publish neauseting and nasty stories.
BUT this tabloid of yours, WILL SELL(to JF members and frequently visiting guests exclusively) for sure i can guarantee that.
hapo imekosekana tuu umbea mmoja... wa .... mwenye aliyeandika uzi anajua tayari nini kimemisi.
which button have i touched?Una maneno sana, huwezi hata kaa na kitu rohoni,kunikuta kule ukaja kusema huku....mimi nilikusema kwa kuwa mimi ni kazi,wewe ukaja tu uakakurupuka kunitangaza tena ukataja na jina la mume wangu...umeniudhi sana....sasa, Lizzy humpati....ukiwembe acha kwa manufaa yako.
Bora ushalijua hilo,moyo wangu ukiwa sehemu naweza fanya lolote lile....Bishanga kanigusa pabaya sana aisee....!
mwaga razi bana,umbea wa nani umemiss,mbona wantia hamu ya kujua?To be frank, i hate tabloids coz they always publish neauseting and nasty stories.
BUT this tabloid of yours, WILL SELL(to JF members and frequently visiting guests exclusively) for sure i can guarantee that.
hapo imekosekana tuu umbea mmoja... wa .... mwenye aliyeandika uzi anajua tayari nini kimemisi.
Ukifanikiwa ntakupa zawadi.ndo naelekea st josef kutubu zambi zangu zote,as of today am gonna be a new man,no cheating,just a one woman man,najua ni kazi kweli kweli lakini nitajaribu,i am bracing myself for all the trials!
mwandishi Asakuta Same atekwa na Rejao kwa ushirikiano na Alshababy alipokuwa anafuatilia kisa cha Rejao kumpa ujauzito Kongosho.Inabdi mwandishi ulichunguze hili ili uje na habari kamili
i think th ryt 1 u werent suppoz to touch.....:eyebrows:which button have i touched?
which button have i touched?