Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 11,924
- 36,842
Itakuwa anatumia kinywaji flan mbadala wa viroba kinaitwa Jobo huleta madhara kwenye ubongo
Itakuwa anatumia kinywaji flan mbadala wa viroba kinaitwa Jobo huleta madhara kwenye ubongo
Huna uwezo wa kunisaidieWala siyo P attack mi nataka usaidiwe. Tumeona watu kama wewe. Huja wakajidai na mwishowe, wakasahauliwa.
hakuna rais hapo sawasawa?Kuna rais wa nchi,rais wa kitaa na Marais wengi tu
Ila huyu mwamba ni rais wa JF/JA
Cc dosho12 Dr am 4 real PhD Castle_Lite
Huna uwezo wa kunisaidie
Mimi unitukane, utukane wazazi wangu, unidhihaki kamwe siwezi kasirika sababu najua akili zenu watanzania
Hayo ni mawazo yako na sio sheriahakuna rais hapo sawasawa?
Ndo maana wewe endelea kudhihaki yaani unadhani unanikomoa 🤣🤣🤣🤣We ni Mghana? Na wapi umetukanwa dogo?
2030 akiingia madarakani jiandae kuandamana😂hakuna rais hapo sawasawa?
Uko timamu kweli?Kama watu wengine wameweza kwanini unahisi sisi hatuwezi
Unajua jiji kama Beijing, Tokyo, ni makubwa sana na sehemu kubwa wamepiga pavement ni kweli China na japana wametupita kiuchumi unadhanije haiwezekani
Anzisha threads hata mia hii moja haitoshiWe ni Mghana? Na wapi umetukanwa dogo?
Kama watu wengi wameweza wao si binadamu kama sisiUko timamu kweli?
Ukipost uzi mwingine wa kunidhihaki unitag nije kuchangiaWe ni Mghana? Na wapi umetukanwa dogo?
2030 akiingia madarakani jiandae kuandamana😂
Msimamo wangu wa sayari na universe ni uleule na nilichongea ni ukweliKwa sasa kajirekebisha anatema madini tu, sio kama mwanzo dish lilikuwa "no signal" mara aseme hakuna sayari, mercury na venus ni nyota.
Mara ataleta ozone Tanzania, dunia nzima hakuna anaemzidi akili.
Mkuu unakimbia hoja .nimesoma tolea mfano NCHI ya afrika ambayo ina pavement. Bold hapo juu wewe NI raia WA NCHI ganiNdo maana nikasema watanzania kwenye fikra mko gerezani sio kosa lenu
Tupo nyuma yake Raisi wetu sisi tutamtetea popote alipo sisi tupo Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sana Sanaa hatuna kama yeye uchumi unapaa.. multiplier effect inaenda kuongezeka maradufu sekta za kimkakati kama gesi, umeme, maji na miundombinu muhimu pia alisema HUDUMA ZA INTERNET zitakua nafuu mnoooKuna rais wa nchi,rais wa kitaa na Marais wengi tu
Ila huyu mwamba ni rais wa JF/JA
Cc dosho12 Dr am 4 real PhD Castle_Lite
Post hata mara elfu moja usichoke tumia haki yakoView attachment 3363186
I recommend apewe 20k akapime akili
Sasa hata kama hamna nchi ya afrika hiyo siyo sababu ya kutuzuia tusifanyeMkuu unakimbia hoja .nimesoma tolea mfano NCHI ya afrika ambayo ina pavement. Bold hapo juu wewe NI raia WA NCHI gani
Wewe itakusaidia nini?Kama watu wengi wameweza wao si binadamu kama sisi