JF Tumempata Deo Kisandu mpya

JF Tumempata Deo Kisandu mpya

Status
Not open for further replies.
SASA Fanya hivi Nenda kapangilie vizuri nyuzi Zako then uje utuambie pavement NI stage ya ngapi .
Hivi unajua kabla ya uvumbuzi wa lami miaka ya 1900's mwanzoni, miaka ya 1800 kirudi nyuma miji ya ulaya walikuwa wanatumia cobblestone na pavement kwenye sehemu za barabara na wanapopita watu na sio lami

Ndo maana mji kama Florence walipiga cobblestone mwaka 1339 kipindi hicho hakukua na lami

Lami imeanza kuwa popular miaka ya 1990 na kuja mbele, miaka ya 1800, 1700, 1600 ulikuwa ni mwendo wa paving na cobblestone hata kuna section ya miji ya ulaya kuna cobblestone

Kama watu wameweka cobblestone miaka ya 1339 huko kwanini unaona ni ngumu kwa sisi kupiga paving au kuwa na mawazo ya kupiga paving mwaka 2025
 

Kama watu wameweka cobblestone miaka ya 1339 huko
kwanini unaona ni ngumu kwa sisi kupiga paving au kuwa na mawazo ya kupiga paving mwaka 2025
Hili la pavement NI TOFAUTI n unvyoamini wewe kuwa NI watu .

Swali budget ya kughramia pavement utaitolewa wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom