Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,417
- 7,614
Yupo si ndio min -me 😁😁😁😁😁Na yule nabii tito, yupo kweli?
Yupo si ndio min -me 😁😁😁😁😁Na yule nabii tito, yupo kweli?
Mkuu najua ila naigiza tu.Hapana sio, habari yafo meku, shimbony shafo meku, huoni vitu viwili tofauti
Ongea kichagaMkuu najua ila naigiza tu.
Mkuu wana JF watahisi tunawananga😁Ongea kichaga
Umnange nani bichwa komwe 😂Mkuu wana JF watahisi tunawananga😁
kuna watu wana vipaji vya kujizima dataMwamba hana tofauti na Deo Kisandu mwanajamvi ambaye alikuwa haishiwi Na vituko jamvini.
View attachment 3326274
Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
Huyu alikuwa anataka teuzi za nishati na madini kumbe kilaza kama Tlaatlaah , Mwashambwa na MamaSamia2025Mwamba hana tofauti na Deo Kisandu mwanajamvi ambaye alikuwa haishiwi Na vituko jamvini.
View attachment 3326274
Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
nawashauri watu wote wa chadema ambao hawaridhiki na hali inavyoenda ndani ya chadema watoke ili tuwaachie chama chao hao wapiga watu wa matamko bila vikao waendelee nacho - Benson kigailaHuyu alikuwa anataka teuzi za nishati na madini kumbe kilaza kama Tlaatlaah , Mwashambwa na MamaSamia2025

Umeona Sasa gentlemannawashauri watu wote wa chadema ambao hawaridhiki na hali inavyoenda ndani ya chadema watoke ili tuwaachie chama chao hao wapiga watu wa matamko bila vikao waendelee nacho - Benson kigaila![]()
Wachaga mmeishakunywa mi-mbundi yenu huko sasa mnaona muanze kuchefue watuHapana sio, habari yafo meku, shimbony shafo meku, huoni vitu viwili tofauti
Yeah, bichwa komwe anaweza kuniacha akiona naongea lugha ambayo yeye haijui.Umnange nani bichwa komwe 😂
Ndege wa kiotani 😂Yeah, bichwa komwe anaweza kuniacha akiona naongea lugha ambayo yeye haijui.
Am hiya may niga.Ndege wa kiotani 😂
I'm nah yoo niga, camin men, mm nii baba yako wa hapa Shaban Robert, fom v wote msugue ngazi zingaeAm hiya may niga.
Mimi ndo niga wa pale, wote waliniogopa kama ukoma.I'm nah yoo niga, camin men, mm nii baba yako wa hapa Shaban Robert, fom v wote msugue ngazi zingae
Haijawah tokea 😂Mimi ndo niga wa pale, wote waliniogopa kama ukoma.
Vijana walipendelea kuniita 'LWANDA MAGERE' maana nilikuwa na nguvu nyingi sana kuanzia za misuli hadi za kiume😎.Haijawah tokea 😂