Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,425
- 54,893
Muacheni baba angu....
Kabla hata ya kufungua huu uzi nilihisi lazima kama sio mwashambwa basi ni huyu 😁
Jamaa angetoa tu nyuzi zake angeachana na sifa za kijinga wala hakuna mtu angejua tatizo lakeNi ID yako nyingine? Hata Deo Kisandu watu walikuwa wanasema anatema madini. Kama Nabii Tito ana wafuasi si jambo la kushangaza.
Hapo umesema sahihi. Angeandika kama anavyoona , mtizamo watu wasingejua kuwa na tatizo la afya ha akili.Jamaa angetoa tu nyuzi zake angeachana na sifa za kijinga wala hakuna mtu angejua tatizo lake
Huyu ndio yule dokta anayedai tupike pilau la dagaa tusiweke nyama? 😀 😀
anasema members wa jf wana IQ mdogoKaja na lipi tena?
Sure anajiharibia mwenyewe na wala hajui hiloHapo umesema sahihi. Angeandika kama anavyoona , mtizamo watu wasingejua kuwa na tatizo la afya ha akili.
Kama watu wengine wameweza kwanini unahisi sisi hatuweziMwamba ana maono safi ila kuyatekeleza Kwa vitendo ndo vigumu . pavement dar yote na barabara za lami Tu zimetushinda Dennis Robert Shughuru
Umeamia kwenye personal attack wala siwezi kasirikaKumekuwa na tatizo kubwa la afya ya akili kwa vijana wengi na kwa nchi yenu Tanzania naona kama wala hamuhangaiki na kuwasaidia hawa watu. Miaka ya nyuma alikuwepo Deo Kisandu. Alianza kama huyu dogo Dennis ambavyo ameanza. Watu wakawa wanamcheka. Mwisho wake nadhani wakongwe tunafahamu.
Nadhani JF mods muangalie kama inawezekana huyu dogo apatiwe matibabu mapema. Akili yake haina afya
View attachment 3363134View attachment 3363135
Sure anajiharibia mwenyewe na wala hajui hilo
Cite NCHI ya afrika ,china Achana nayo . vipi Egypt Wana pavement?Kama watu wengine wameweza kwanini unahisi sisi hatuwezi
Unajua jiji kama Beijing, Tokyo, ni makubwa sana na sehemu kubwa wamepiga pavement ni kweli China na japana wametupita kiuchumi unadhanije haiwezekani
Wewe jikite kwenye personal attack hila huna unachonipunguziaHawezi jua sababu Dish limeyumba . Yeye anaona ndo yupo sahihi kuliko wengine
Umeamia kwenye personal attack wala siwezi kasirika
Ndo maana nikasema watanzania kwenye fikra mko gerezani sio kosa lenuCite NCHI ya afrika ,china Achana nayo . vipi Egypt Wana pavement?