Jf TRUISM DAY 1/4/2015

Jf TRUISM DAY 1/4/2015

Kweli Asprin naona Zamaulid yupo anafanya sala ya nguvu ili na yeye apate bahati,ila sasa Asprin chunga sana Madame B yani unamwita Madame B Eti nanilii,halafu wahi kabisa hapo vero inn tegeta Kabla mshana jr ajatia timu na kufanya uwakilishi wa nguvu.
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe, mshana jr ka vipi we kawakilishe tu, Asprin hana shida,weekend imekuwa ya bahti kwa upande wake.
 
Last edited by a moderator:

Akikana kuwa hajanituma nimwakilishe nampiga kipapai
 
Last edited by a moderator:
Uzi mzuri kweli huu, kama watu wangekua serious kutoa majibu ingekua poa sana....sema ndo hivyoo, duuh.
Mi ni mgeni Jf so naona itakua so soon kwa hili...ila mkiniruhusu, naweza kufunguka. Asantenii
 
ImageUploadedByJamiiForums1427582097.897911.jpg

What for kujuana?? Ili iweje
 
Donjama unaruhusiwa kabisa kujieleza kadri unavyopenda kwani hii ni JF TRUIS DAY kila mmoja yupo huru.
Jieleze kwa vyovyote vile.
Pi karibu sana Jf maoni,mawazo na ujuzi wako ni vitu muhimu kwetu.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 238785

What for kujuana?? Ili iweje

Jerrymsigwa kama uzi unavyokwenda JF TRUISM DAY ni kuamua tu kujieleza kwa njia unavyopenda au kutaka.
Kwa mfano hata ukisema mimi naipenda jamiiforums kwa kuwa najifumza mambo mbalimbali basi unakuwa umejieleza.
Ila kumbuka kuna njia nyingi za kujieleza,kama utasoma COMMENT utagundua kuna watu wanapenda kutaniana sana na wakati ambao sio wa utani wanakuwa siriazi zaidi.
Muhimu upendo na udugu uendelee kati yetu.
" PEACE and LOVE "
Upendo na Amani ndio msingi wa maisha yetu.
 
Last edited by a moderator:
Madame S usikubali Madame B a.k.a MADAME mwenzako abaki mwenyewe,mpe hata neno basi.
 
Last edited by a moderator:
Sasa huo ndo mpango,mapacha hawaachani lazima mmoja amsaidie mwingine, sawa Madame S na Madame B ,mapacha hawagombani,wakigombana usiwaingilie,utaambulia kipogo . . . . . . . . . . . . . . . . . Mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom