Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Kufikisha mawazo hilo ndio neno.Sawa sawa HARUFU ,pia nadhani watu wengi wanapenda kutazama aina ya UZI ULIVYO NA JUKWAA Kwa kuwa wanafuata aina fulani ya mambo yanayovutia.
Jukwaa kama kama JUKWAA LA SIASA unaweza kupata wachangiaji wengi sababa ya wengi kuvutiwa na siasa.
Kwa mfano ukitaka kupata wachangiaji wengi ktk uzi wako,basi jaribu kumponda mtu flani ktk uzi wako,hapo utajua kweli wachangiaji wapo.
MUHIMU KULIKO YOTE NI KUFIKISHA MAWAZO.
Mie kiukweli naomba babu Asprin anioe na mie nitulie kwangu😀
Honey Faith ,hongera kwa kufunguka nadhani Asprin amekusikia.
i wish you all the best , lakini ushamwambia hilo ?
Mimi takuwa wa mwisho kusema
Eti umesemaje???Mie kiukweli naomba babu Asprin anioe na mie nitulie kwangu😀
Hakyamama hebu muulize kwa kiinglishHoney Faith ,hongera kwa kufunguka nadhani Asprin amekusikia.
i wish you all the best , lakini ushamwambia hilo ?
Dogo tulia ukue....:welcome::welcome:Hiki kibabu kina ndele si bure
Eti umesemaje???
Hakyamama hebu muulize kwa kiinglish
Dogo tulia ukue....:welcome::welcome:
Ugomvi wake yule babu wee acha tu na hivyo kibinti kibichi kimemtangazia ofa ya ndoa wee acha tu
Niko Vero Inn Tegeta Kibaoni....njoo maana chumba niko peke yangu, usiku mrefu