Jf TRUISM DAY 1/4/2015

Jf TRUISM DAY 1/4/2015

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,856
Jf TRUISM DAY
siku zote ukweli ndio baba wa imani na roho yako.
UKWELI huleta urafiki,udugu,ujamaa,mapenzi na utu
Je unalikubali hilo ? Kama jibu ni ndio,unaweza kutuambia ukweli wowote kuhuru wewe ?
NINI UNACHOPENDA MAISHANI MWAKO NA KIPI USICHOPENDA,UNAISHI WAPI,UMEOA/UMEOLEWA,KAMA UNGETAKA KUMTAFUTA MUME/MKE WA HUMU JF WEWE UNGEMCHAGUA NANI,UNAMPENDA NANI WA HUMU JF,VIPI KUHUSU MAFANIKIO YAKO UNAWEZA KUTUAMBIA NINI ILI NA SISI TUWE KAMA WEWE
Nawapenda wote,salamu kwa Mzizi mkavu miss chagga MO11 mshana jr maasai dada Amavubi MKONGA Chimbuvu Chilli , Madame B tedo Arabela Baba V Mti Mtu mtu chake Asprin
"UKWELI NDIO DIRA"
 
Last edited by a moderator:

Kiongozi unaonaje ukianza kwa kutoa mfano??

Haya funguka nasi tufunguke...
 
mimi ntajieleza mchana make hapa ni usiku mnene ntarudi.
 
Mimi nipo single,20's of age,jf nampenda lala 1 na ndio mwana jf ninaye wish kukutana nae,ninaishi kinondoni studio.
 
@Aspin mi naanza kama hivi:
jina langu ni Idd Ninga au ukipenda waweza kuniita NINGA nimezaliwa Tanzania mwaka 1989.
Napenda kuuliza maswali na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali.
Ninatumia ID YA UKWELI hali inayonifanya kuwa muoga katika kucomment mada katika majukwaa ya SIASA na HABARI MCHANGANYIKO Hiyo yote ni katika hali ya kuwa salama zaidi.
Sijaoa mpaka sasa kwa kuwa nipo najiendeleza kielimu ingawa niliishia darasa la saba lakini namshukuru mungu aliweza kunipa maarifa mengine na uwezo wa kuzungumza lugha 3 ambazo ni KISWAHILI,KINGEREZA na KIISPANIA lugha ninazozipenda.
Nina fani katika mambo ya utalii.
Kipaji changu ni sanaa ya utengenezaji filamu ikiwemo film editing and acting pamoja uandishi wa mashairi na mara nyingi huwa naandika mashairi katika gazeti la MWANANCHI Kila ijumaa.
Malengo yangu ni kufungua kampuni yangu au kujiajiri na ninachukia sana kuajiriwa.
Napenda watu watu wapole,wenye busara,hekima na watu ambao wanaweza kunishauri na kunifunza mambo mbalimbali.
Napenda kukosolewa na kuonyeshwa njia sahihi ya mimi kufanya ili nifanye vizuri.
Sipendi sana kujihusisha na mambo ya mapenzi ya wakati huu ingawa na mpenzi wangu anaeanziwa na herufi V nampenda sana kwani anaonekana kuwa ni mvumilivu.
Nawapenda wote wa Jf kwani wamekuwa wakinipa changamoto na kujifunza mambo mbalimbali.
Napenda kukutana na member wote wa Jf kama:
mshana jr
Rakims
Mzizi mkavu
miss chagga
na wengine wengi.
Napenda kusema tena " USIOGOPE KUNIKOSOA NA KUNISHAURI NA MAMBO NINAYOKOSEA "
nakaribisha mashwali na ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nipo single,20's of age,jf nampenda lala 1 na ndio mwana jf ninaye wish kukutana nae,ninaishi kinondoni studio.

ipo siku mtakutana na Lala 1 ni kuamua tu.
Umesema hakika IFRS
 
Last edited by a moderator:
Mimi nipo single,20's of age,jf nampenda lala 1 na ndio mwana jf ninaye wish kukutana nae,ninaishi kinondoni studio.
Kama watamani kujifahamu wewe ni mtu wa namna gani, sawa, mtafute lara1 uongee naye kisha umwulize: Naomba unieleze dada, mimi ni mtu wa namna gani unionavyo? Atakutolea kurasa zote alizoprint juu yako!
 
Last edited by a moderator:
@Aspin mi naanza kama hivi:
jina langu ni Idd Ninga au ukipenda waweza kuniita NINGA nimezaliwa Tanzania mwaka 1989.
Napenda kuuliza maswali na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali.
Ninatumia ID YA UKWELI hali inayonifanya kuwa muoga katika kucomment mada katika majukwaa ya SIASA na HABARI MCHANGANYIKO Hiyo yote ni katika hali ya kuwa salama zaidi.
Sijaoa mpaka sasa kwa kuwa nipo najiendeleza kielimu ingawa niliishia darasa la saba lakini namshukuru mungu aliweza kunipa maarifa mengine na uwezo wa kuzungumza lugha 3 ambazo ni KISWAHILI,KINGEREZA na KIISPANIA lugha ninazozipenda.
Nina fani katika mambo ya utalii.
Kipaji changu ni sanaa ya utengenezaji filamu ikiwemo film editing and acting pamoja uandishi wa mashairi na mara nyingi huwa naandika mashairi katika gazeti la MWANANCHI Kila ijumaa.
Malengo yangu ni kufungua kampuni yangu au kujiajiri na ninachukia sana kuajiriwa.
Napenda watu watu wapole,wenye busara,hekima na watu ambao wanaweza kunishauri na kunifunza mambo mbalimbali.
Napenda kukosolewa na kuonyeshwa njia sahihi ya mimi kufanya ili nifanye vizuri.
Sipendi sana kujihusisha na mambo ya mapenzi ya wakati huu ingawa na mpenzi wangu anaeanziwa na herufi V nampenda sana kwani anaonekana kuwa ni mvumilivu.
Nawapenda wote wa Jf kwani wamekuwa wakinipa changamoto na kujifunza mambo mbalimbali.
Napenda kukutana na member wote wa Jf kama:
mshana jr
Rakims
Mzizi mkavu
miss chagga
na wengine wengi.
Napenda kusema tena " USIOGOPE KUNIKOSOA NA KUNISHAURI NA MAMBO NINAYOKOSEA "
nakaribisha mashwali na ushauri.
Idd Ninga, kuna kitu juu yako umesahau kukitaja waziwazi nacho ni: unapenda sana kufahamu tabia na maisha ya wanyama pori.
 
Last edited by a moderator:
Idd Ninga, kuna kitu juu yako umesahau kukitaja waziwazi nacho ni: unapenda sana kufahamu tabia na maisha ya wanyama pori.

hapo umesema kweli SHIEKA ,mimi huwa napenda sana wanyama pori na ndege.
Du bahat mbaya nimesahau kulieleza hilo.
 
Last edited by a moderator:
1413646730960.jpg
 
Back
Top Bottom