JF top poster hits 30, 000+ posts and still craving for more JF records.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,542
728,445
Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the moment...don't you think so?

"Then my mouth was filled with laughter and my tongue with singing. Then they said among themselves, His LORD has done great things for him..................Indeed our LORD has done great things for me and I am glad."
Psalms 126: 2-3
 
The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,031
256
Mhhhh! yaani toka 24.September. 2010,hadi leo una posts zaidi 30,000 duh we mkali..ila najua nyingi ni za mambo ya soccer na wakati wa bunge..hahahahah
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,380
8,135
Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the moment...don't you think so?

"Then my mouth was filled with laughter and my tongue with singing. Then they said among themselves, His LORD has done great things for him..................Indeed our LORD has done great things for me and I am glad."
Psalms 126: 2-3
Napendekeza huwe JF Premium member au??kunanini tena kwa mwenye post zote kama hizo??
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,158
3,001
Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the moment...don't you think so?

"Then my mouth was filled with laughter and my tongue with singing. Then they said among themselves, His LORD has done great things for him..................Indeed our LORD has done great things for me and I am glad."
Psalms 126: 2-3
Kuna kipindi idadi ya posts zako iliongezeka maelfu kwa gafla mpaka nikadhania NN kabadilisha jina...Hongera
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,542
728,445
Hii itakuwa ni sababu ya Copy and Paste ya """TRANSFER NEWS""

tatizo la hoja hii ni kuwa kule posts hazifiki hata 1,000........................na hata zingelikuwa kama unavyodai bado ni kazi kuelimisha dunia..................na kule clicks zaidi ya 6, 000 zaonyesha wapenzi wa michezo wengi wanafaidika...............................ningelipenda ile thread iweke rekodi yake in the next two years................................many records stand to be broken here...........Am looking forward.........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom