JF Tanga Wing wakutana

Akikuhamisha akubadilishe na jina...hilo la Preta tutampa anonymous mpya atakayeletwa na Mungi kutokea huko pande za Gendabi.

Preta[jina] ni mali ya ARusha 100% , hivyo mkihamishana kwenda huko Nangurukulu akupe Id mpya.

Mapenzi kizungumkulu........hüwezi jua nimekoleaje........naweza hamia hata Tandahimba..........
 

Aaah PJ umenichekesha, mambo kama haya hayahitaji ndumba bali tunaangalia uwezo wa mtu katika jukumu analotaka kupewa. And for that Mwanyasi yuko juu.

Tunashukuru kwa kutupongeza, nasi tunawashukuru Arusha wing maana nyie do mliotuhamasisha hadi kufika tulipofikia, hatuta sita kuomba msaada pindi tutakapokwama

PJ karibuni tena Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…