Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,006
- 453,967
Astaghafirulilah ngoja nisepe maana hapa ni kama napaka upepo rangi
Huyo akushikie Mic. Camera ina stendi yake spesheli
Babu tuacheeeeeAstaghafirulilah ngoja nisepe maana hapa ni kama napaka upepo rangi
🤗🤗 Katoto kangu kazuri...
Heri ya mwaka mpya shemejiWa jf ndio sisi sisi wa mtaani mkuu
Umempenda mtu mwambie muanze kuzagamuana usiogope maneno ya watu
Maisha yenyewe mafupi haya jamani
Na kwako pia shemeji yanguHeri ya mwaka mpya shemeji
EwaaahKatoto kangu kazuri...
Lengo nipite kimya bahati mbaya nikajikwaa.Na kwako pia shemeji yangu
Juzi nakuona makapuku nikusalimie mara umetoka
HahahhahaLengo nipite kimya bahati mbaya nikajikwaa.
Sawa shemeji yangu.Hahahhaha
Usipite kimya bwana siku nyingine uongee
Asante shemeji yangu na kwako piaSawa shemeji yangu.
Uwe na siku/jioni njema