Jf sio kisiwa

So jf hutusogeza karibu na watu tofauti wenye mahitaji tofauti.


Tena walio wengi ni wasomi,wadada kwa wakaka.
 
Habari wapendwa wana jamvi LA jf!
Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf!
Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao kanisani, kisimani,sokoni nk.
Hivyo basi napenda kuwahusia wale wanaotukandia sisi tuliojipatia wenza hapa kuwa wanachama wa jf ndio haohao tunaokutananao mtaa tofauti ni kwamba hapa tunapata nafasi ya connection kwani ni vigumu kujua MTU anayetafuta mwenza kwa kumtazama tu huko njiani, kanisani, kisimani nk
So jf hutusogeza karibu na watu tofauti wenye mahitaji tofauti
Watu kama hao kitu IMANI nafsini mwao hawana
 
Back
Top Bottom