Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Mi nasubiria akianza kuku CC tu najua Chief Hangaya ushakubali msamaha wa NdugaiNiachieni Ndugai wangu nyie wazee
Mi nasubiria akianza kuku CC tu najua Chief Hangaya ushakubali msamaha wa NdugaiNiachieni Ndugai wangu nyie wazee
Najitahidi kuongeza siku za kuishi tu, nicheke wee kama hivi...sina ukorofi wowote.
Ila jamaa linafaidi dadeq!!


Tucheke tu maisha yenyewe mafupi haya tunaishi mara moja tuNdio maana wazee inabidi tuwasaidie tu. Maana hamna namna tena. Nami nasema wagongeeni
Hayo mambo ya CC tunaawachia wengine sisi wengine watu wazima babuMi nasubiria akianza kuku CC tu najua Chief Hangaya ushakubali msamaha wa Ndugai
Eeeenh lakini babu hamna tofauti na weweAfu alivyo mtaalam sasa... anakagua madarasa yenye tiles na madirisha ya aluminium
Mimi hapana asee. Labda itokee tu yaniEeeenh lakini babu hamna tofauti na wewe
Afu alivyo mtaalam sasa... anakagua madarasa yenye tiles na madirisha ya aluminium


Eti Ndugai wangu kweli unafaidi mautam ya toto la kisambaa




Faru Ndugai tena jamani jamani ndugai wangu kawakosea nini nyie wazee ebu mwacheni siendi kokote nampenda hivyohivyo
💐 🥳 💕 💞Eti Ndugai wangu kweli unafaidi mautam ya toto la kisambaa
Sakayo namfikishia salaam zake
Babu wewe labda itokee ningekuwa sikujui kweliMimi hapana asee. Labda itokee tu yani