JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

Nakubali kabisa kwamba kigezo cha uadilifu ni muhimu sana katika nafasi ya uraisi wa Nchi yetu.Lakini nafikili kwa sasa pamoja na uadilifu inafaa sana kupata Raisi Mchapa Kazi sana kwani taifa letu limeyumba sana kwa sababu ya watu kushindwa kufanya kazi.Inabidi Raisi ajaye awe mchapa kazi sana na aje abadili mind set ya watu kufanya kazi.Ndugu yangu kama unaishi Tanzania nenda kwenye ofisi za serikali utashangaa sana kuona kasi ya kufanya kazi ipo chini sana. Pia raisi awe mbunifu sana kuna mambo mengi kama yengefanyika nchi isingekuwa hapa ilipo.Kwaiyo tusije kumpata kiongozi mwadilifu lakini mvivu huyo hatatufaa kabisa kwa sababu hata kupambana na ufisadi ,rushwa ,wizi,kubadili mindset kunataka kiongozi mchapa kazi sana.Mfano wa kiongozi mwadilifu na mchapa kazi alikuwa Edward Moringe Sokoine. Ni muhimu pia kwa viongozi ambao wako CCM kupimwa kwa track record Zao. Watuonyeshe walifanya nini katika nafasi zao za Uwaziri au ukatibu mkuu,au ukuu wa Mkoa.La sivyo tutauziwa mbuzi kwenye Gunia. Na raisi ajaye asifungwe na siasa za itikadi yoyote yeye awe pragmatic.
 
Naomba kufahamishwa kwanini Malaria Sugu ana posts zaidi ya 8,000 lakini hadi leo hajawa Premium Member humu JF na badala yake amebaki kuwa Senior Expert Member sawa na sie wenye post 200 huku kukiwa na baadhi ya Premium members ambao wana posts 1,000 tu?? Mods kama naweza kupata ufafanuzi nitashukuru
 
Pitia uzi wote

kuna thread inajibu hilo swali lako. lakini vyeo vinategemea na count ya posts, mfano ukifikisha 250 kama sijakosea basi unakua JF Senior and Expert Member. U-Premium ni kama una/umechangia ki fezwa..........nadhani inatosha kwa ufupi!!.
 
Cha ajabu Juzi nifikisha post 399 nilipoweka post ya 400 nikashangaa system kunirudisha down to 360 hii inakuaje?
 
Naomba kufahamishwa kwanini Malaria Sugu ana posts zaidi ya 8,000 lakini hadi leo hajawa Premium Member humu JF na badala yake amebaki kuwa Senior Expert Member sawa na sie wenye post 200 huku kukiwa na baadhi ya Premium members ambao wana posts 1,000 tu?? Mods kama naweza kupata ufafanuzi nitashukuru
Ana mkono wa birika huyo, mkono mtupu haulambwi.
Kila siku JF mnaombwa michango kuendesha ukumbi huu, watu wana jikausha
 
Hakuna haja kuwa na category nyingi kiasi hicho JF Premium member inatosha kabisa huyu katoa hiki yule kile hakuna haja wote dhamira yao ni moja na wote wangekuwa na uwezo wangetoa kikubwa kuliko walichotoa.
 
Mi naomba kuuliza kwanin forum/majukwaamengine hayafunguki kama DINI??

Na ni vip naweza changia jf kifedha mbona hii ishu imewekwa kisili sana.
 
I notice that JF has various categories of membership including junior ,expart,senior,moderator,supermoderator. Whats the membership criteria for the various categories?
Just curious.
 
Naona kuna mabadiliko hapa
Hebu wajuzi watuambie nini kimetokea
OTIS
 
mimi nashindwa kujua rank yangu maana nilishafikia jf senior expert member nikapigwa demotion bila notification yeyote. pengine ajili siku za karibuni hamjaona nafasi yangu ya kuchangia jf. sina hakika na mpangilio wenu wa ranking
 
Back
Top Bottom