Lady doctor
Lady doctor
usikate tamaa Bishanga yupo hapo mjini kapata siku hizi mabega yamempanda juu nasikia anataka kugombea ubunge 2015!
basi nmechelewa kumbe ushalog off,siku log ikiwa on,nitakwambia kitu
Source...!!Habari ya hapa ndani waungwana? ukweli tutakubaliana humu ndani kuna raha yake jamani kuna watu kazi yao nikuwafanya watu tuwe na furaha kila tuingiapo humu ndani mf.kuna mtu ana itwa Tangopori huyu bwana kila "post" ye anataka "picha" tu basi mie hoi wakina madmB,heaven,na wengine wengi.mungu atubariki jamani.
hapa hajichanganyi mtu nyie jadilini tu me au mke mtakesha
ahsante kama umenielewa na mimi nalg offnimekuelewa.
Nalog off