Jf raha jamani...!

Jf raha jamani...!

Hebu twende PM, hapa kuna wanaa wanafuatilia mpaka rangi ya vyupi vya mama zao.....

Nakusubiri....:welcome::welcome:

Halooo sasa mbona mie sivaagi chupi, huwa zinaniwasha nikivaa we nikague tuu maana hawataiona chupi maana sijavaa, ,,
 
Halooo sasa mbona mie sivaagi chupi, huwa zinaniwasha nikivaa we nikague tuu maana hawataiona chupi maana sijavaa, ,,
Eeeeeee Mungu weeeeee!!!!!:lying::lying::lying::lying::lying::lying::lying:
 
JF ni zaidi ya Msosi au kilaji
Siwezi kulala bila kuja kuwasabahi Mamember
maana ukikorofishana na huyu lazima utacheka na yule
ukikoswakoswa BAN utaambulia LIKE au REPUTATION
hiyo ndio JF
 
Back
Top Bottom