Jf raha jamani...!

Jf raha jamani...!

JF ni zaidi ya Msosi au kilaji
Siwezi kulala bila kuja kuwasabahi Mamember
maana ukikorofishana na huyu lazima utacheka na yule
ukikoswakoswa BAN utaambulia LIKE au REPUTATION
hiyo ndio JF

exactly!

Nilijaribu kuiepuka nikashindwa now ni full burdaaaani.
Nikinuna na huyu nitacheka na yule hii ndio raha ya jf haina ubaguzi
 
Huwa napenda sana wale kila hoja wanadai picha utadhani ni tangazo la kuuza gari au bidhaa ingine.
 
exactly!
Nilijaribu kuiepuka nikashindwa now ni full burdaaaani.
Nikinuna na huyu nitacheka na yule hii ndio raha ya jf haina ubaguzi

avatar136132_3.gif

MAAAAma yangu v2 km hivi ndio vinanifanya nisiiiache JF siku
Maashalaah kua Figure weeee acha 2
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mimi hujanitaja?

Haya jinsia yako tafazali?

Kama ni KE, sikumbuki kama nlishakukagua. U kam zis wei chapchap sana.... tena without...

Babu hujaacha tu hii tabia...?!!
 
Back
Top Bottom