Jf raha jamani...!

Jf raha jamani...!

Ni KE, ukiangalia kwenye post yake mwanzoni kabisa...
 
wewe ni 'ke' tayari. Bila chenga.

Afu we data wewe!!!
Sjui kwanini uko makini sana kumtambua mtu kama ni mke or me. lol!
...
Juzi kati nimeona post yako moja ukisema!
"kipindi hicho sijatambua desh ni ke or me, kumbe desh ni MSUGUA GAGA tu!"
teh teh teh! Mbona mi nilimsoma, kuwa ni ke, sema alinichanganya mbeleni nikajua ni me! Aah wapi! Nikamteming nikahakikisha ni ke! Ingawa mwenyewe anadhani sijamsouma! Teh teh teh!
 
hivi Tangopori huwa ana comment vipi kwenye jukwaa la jamii photos?

mkuu usidai na picha hapa!
 
Last edited by a moderator:

wa hangaike tu watatulia we nyewe
 
Hahahaa haaaa

usiku mwema mama!

naona umekontola mapema!

good-night-desi-glitters-6.gif
 
hivi Tangopori huwa ana comment vipi kwenye jukwaa la jamii photos?

mkuu usidai na picha hapa!

Duh!
Mkuu hata kule kuna mada hata hawaekagi picha!
Nilijaribu kuuliza kwa nini. Wakaniambia nimekrem!!!
..
So jamaa atacomment hivyo hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom