Hii mikwara kampige mbuzi,nisije wewe ndiye umenilipia?
Nitamchambajeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Mwache ajaribu aone!
WATU WA LOW ELF ESTEEM!!!!!!!!!! Sasa hata ukiwaona watu ukawajua ili hali hawakujali itasaidia nini?
Wanaume wa JF wamenishindaaaa!!!!!!!!!!! 30k UNAZAMIAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!! Puuuuuuuuuuuuuuu! Wakati hio ni hela ya tots 2 tu sehemu zenyewe! Kuna watu kul raha wanakusikia tu!
Easy, ila nadhani utakubaliana nami kuwa there is no way utaweza zuia this let alone kujua someone has taken a snap. Best of luckSASA NDO NAKWAMBIJE KUTOA HIO 30K ISIWE ISHU UTUHARIBIE PARTY! Tunweza kukurudishia VILE VILE! Kulipa isiwe ndo nongwa! PICHA HAZIRUHUSIWI!!!!!!!! HUTAKI SEPAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!
Hii ni hserehe ya waungwana na uungwana ni vitendo! PICHA HAKUNA! !!!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaass!
Easy, ila nadhani utakubaliana nami kuwa there is no way utaweza zuia this let alone kujua someone has taken a snap. Best of luck
Siku hizi uko UNYAMWEZINI!!!!!? Uko JUU!!!!!!!!!
Dah sasa kila mdada wa jf anayekwenda anataka kuona six packs za Watu8 cjui itakuwaje kwa sisi wenye vitambi hatare!:A S 39: