JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

hahaa umenichekeshaje LOLz

yaaaani HOE badala ya kunipa moyo nisake mchango unaniona me kituko eeeeeh anyway network ikigoma mpaka saa sita usiku nitakupm mnipe sapoti wewe na shem nisije nikaaibika mjini hapa
 
iam very smart when it comes to hide my identity in social places. i'll be there as usual cause Escape is the place i do attend regularly .however you wont be able to catch my existance. CC lara 1 and all partygoers in JF.twee nzetuuuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani hiyo Escape 1 iko pande zipi za Dar??? Anyone help maana naona Lara1 kashindwa kunielekeza so far pamoja na kuuliza swali hili mara mbili.
 
iam very smart when it comes to hide my identity in social places. i'll be there as usual cause Escape is the place i do attend regularly .however you wont be able to catch my existance. CC lara 1 and all partygoers in JF.twee nzetuuuuuuuu!

Mwoga mwoga....lakini unapenda kujua watu....aseeee.
 
Last edited by a moderator:
Hao waandaaji wasema kabisa menu maana wengine siye hatuli Nguruwe kama huyo Mnyama yupo niahirishe kuja na mchango wangu mnirudishie mapema.

Na Juisi lazima ziwepo maana wengine hatunywi pombe
 
Gatecrashing sio...au kaunta ya juu.

kuna member mmoja jina kapuni, huyu ni wa kumwangalia sana.this dude is a professional party crusher.najua hajachangaa ila kani assure lazima atakuwepo na lazima atazama.mwee!
 
kuna member mmoja jina kapuni, huyu ni wa kumwangalia sana.this dude is a professional party crusher.najua hajachangaa ila kani assure lazima atakuwepo na lazima atazama.mwee!

Nitamchambajeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Mwache ajaribu aone!
 
Hao waandaaji wasema kabisa menu maana wengine siye hatuli Nguruwe kama huyo Mnyama yupo niahirishe kuja na mchango wangu mnirudishie mapema.

Na Juisi lazima ziwepo maana wengine hatunywi pombe

Pork hamnaaaaaaaaaa! Owner ni Muslim, na JUISI ZA KUMWAGA!!!!!!!!!!!! Shaka ondoa!
 
Mwoga mwoga....lakini unapenda kujua watu....aseeee.

WATU WA LOW ELF ESTEEM!!!!!!!!!! Sasa hata ukiwaona watu ukawajua ili hali hawakujali itasaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…