Sio lazima utumie real names labda kama mshafahamiana kitambo.Unam PM tu kuwa nataka kukulipia.So miss chaga atajua Tclevery kanilipia.
Mkuu lara 1 tafadhali tunaomba angalizo katika dressing code, make last year ilikuwa WHITE PARTY dressing code ikawa WHITE. Vipi this year???
charminglady wewe tupia tu kivazi cha ufukweni itakuwa pouwa tu, si ushaambiwa ni mambo ya ufukweli Kawe Beach, hata ukivaa kama vile unakwenda kwenye ngoma ya msuto wa Mkodobwe itakuwa pouwa tu, miye mwenyewe nitatupia zangu DERA langu la Hudhurungi utanitakaaaaaa

Duuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh,
Libarikiwe tumbo lililokufikisha kwa hii dunia......
Natamani nikuone tena tuendelee pale tulipoishia....
Bahati mbaya nasikia Bibi haruhusiwi kujwa kwa party nad mie ndo hivyo tena.....lol!!
Babu DC!!
Mdada tena...!!!
charminglady naomba poo nsipigwe ban ngoja nimtukane boss wangu .....***** wallah kwa kuweka mkutano saturday,sunday tarehe ya party vya siasa vinaboa sana.
....mamaye zake
Jamani kama ujatoa mchango wako hata kuchangia usichangie kaakimya!