Jf ni noma

utanisalimia au utamsalimia? Shemeji kukaa shekoslo nini nini sijui kunakufanya usahau lugha.

hehe hizo ndio side effect za mstuko

mpige hata sound bhana,mjini sometimes tunaishi kwa madeni
hii njemba jinsi ilivosimama ni ushahidi tosha kwamba binadam tunatokana na nyani kwenye evolushen

Karibu hapa Nyamachabes - Tegeta Nyaishozi upate Eagle Lager - Kuna Bendi ya Mapacha Watatu - Kalala Junior, e.t.c wanapiga na nyomi ya kufa mtu mtu!
Acha nichukue boda boda jibaba

Kwani deskmate unaenda wapi? au ni kile kifafa chaki kimeshtuka ghafla? Si ndio nije na wewe nikuuguze?

hehehe deskmate nawahi press confrence lakini hapo juu nimedanganya hela ya cafe imeisha. Halaf tembelea hapa kuna jamaa anakutafuta kutoka nairobi

https://www.jamiiforums.com/love-connect/203602-namtafuta-mwali.html
 
Kwani deskmate unaenda wapi? au ni kile kifafa chaki kimeshtuka ghafla? Si ndio nije na wewe nikuuguze?

Kweli kuniacha na Excellent ni salama?
usiogope,chochote unachopata kwake kwangu utapata maradufu
 
Amesha ondoka hata hivo. Haya, nambie sasa utafanya nini zaidi yake? yeye alikwambia anafanya nini kwani?
mi nitakufanyia makubwa,kwani yeye alikuambia atakufanyia nini
 
Back
Top Bottom