JF ..Msaada wenu mkubwa kimawazo unahitajika....

Mpendwa kwanza jitizame wewe mwenyewe ni kitu gani unakipenda na una uwezo nacho. Ukifanya biashara ili mradi biashara nayo utaichoka kama ulivyochoka kazi.

Plus usiache kazi mpaka uone biashara inachanganya labda kama una kitu ambacho kina kuingizia pesa hata kama ufanyi kazi

Mie kama mie napenda sana mambo ya fashion za kina mama na kina baba ila nikiangalia maduka mengi Bongo hii ni nguo za kina baba kina mama
asante kwa ushauri Mimi-soso
noted
 
Kama ndiyo unayoipenda usiogope sana kuchukua risk.Wajasiriamali sifa yao mojawapo ni ku-take risk.Cha msingi fanya research ya nguvu ya masoko.Halafu sio lazima sana ufungue duka hapa Dsm.mbona kuna mikoa mingi bado hawajachangamka kama Dar na hizo nguo wanazihitaji?Usikurupuke,fanya research ya nguvu.
Vnginevyo nunua Bajaj au pikipiki na fanya biashara ya kukodisha.Pia usimsahau Mungu,mwombe akuongoze.
Nkutakia kila la kheri katika hatua muhimu ya maisha yako!
 
thanks madame ngona nianze kufanya investigation kwa sasa kabla sijaamua kuingia huko k

Ubarikiwe kwa ushauri wako
 
FLD watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwenye kazi za kujitegemea bcs wanakuwa wooga kutake risk but jaribu ukipendacho kufanya utaona matokeo yake pindi utakapoingia tuu.
 
Nadhani kilimo chenye tija ndo biashara pekee itakayokutoa kwenye stress ya kuajiriwa na haihitaji ujuzi wa hali ya juu wala mtaji mkubwa sana!
 
Kama mtaji wako mkubwa unaweza kufungua min market, ukaweza bidhaa za aina mbali mbali za kitaifa na kimataifa.
Unaweza ukaweka sehemu ya vyakula, vinywaji kama soda, beer na wine na sehemu nyingine mambo ya urembo. Biashara hii ni nzuri kama umejiandaa kimtaji na kupata eneo zuri la watu wenye kipato chao.
 
Dada kabla hujaacha kazi tafadhali tembelea wajasiriamali walioanzia chini ili ujifunze kutoka kwao kabla hujaacha kazi. Biashara nyingi zinaingiliwa mno na mtindo wa kuigana( copy and paste). Ukipata nafasi tembelea wafugaji wa kuku/mbuzi/ng`ombe wa maziwa na wenye bustani za mboga kwa upande wa dar. Biashara hizi ukimaanisha zinalipa vizuri sana.
 
Kwanza hongera fl1...
Sio wanawake wengi wana mawazo kama yako...
Pili usiache kazi ili uende kuanza biashara....
Fanya biashara wakati wa free mpaka ikichanganya ndo uache kazi...
Halafu chagua biashara zenye risk kidogo...
Nakushauri angalia uwezekani wa kujenga guest.....au
fuga kuku..........[/QUOTE]

Mitizamo ya namna hii mhhh!!
FL wazo la kuanza biashara ni zuri sana ila lataka maandalizi mazuri.Sijajua uamuzi wako ulisukumwa na nini na umeshajiandaa vipi.
Nashauri usome Kitabu cha Robert Kiyosaki and Sharon Lechter - Rich Dad Poor Dad na How to Retire Young and Rich kilichoandikwa na Joseph S. Coyle... hivi vitakupa msukumo na nguvu ya kuanza biashara.

FL achana na biashara za kizamani au zile zinazofanywa na wale akina mama na baba ambao hawakubahatika kwenda shule sana au kuwa exposed kwa ulimwengu wa sasa wa S&T wa utandawazi.Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema Watanzania ni wavivu wa kufikiri.... kwa kiasi alikuwa sahihi..maana kuna kale katabia kakuigana .. jirani kafungua salon na wewe utafungua hiyohiyo...mwingine anafuga basi na wewe utafanya hiyo hiyo. Sasa hivi kila mtu anafungua Boutique, massage palours, bakeries as if hakuna nyingine za kufanya. Kumbe kuna biashara nyingi tu za kufanya.Jihadhari na hili .

In short kama alivyosema Boss hapo juu, usiache kazi kwanza kabla hujaweka msingi wa biashara uitakayo .Kwa maneno mengine weka mipango mizuri ikiwemo na mifumo na taratibu.Take advantage of contacts that you have now while u r employed.Once you are out ..u will be surprised watu watakavyokuwa wanajifanya hawakujui tena ... networks zako nyingi zitayeyuka maana wahusika walikuthamini tu kwa vile ulikuwa na position ambayo waliweza kufaidika.

In short mwanzo can be rough and devastating ila baada ya muda utafurahia uamuzi wako.
 
Good one, hivi wewe kumbe ni mfanyabiashara?
 
FL1, biashara ni nzuri ila uwe makini sana, otherwise hata kama una mtaji mkubwa unaweza ukayeyuka na hata usione ulichokifanya. Kwanza naungana na waliokushauri usiache kazi kwanza mpaka mambo yawe bomba. Pili fanya kitu unachokipenda, maana hiyo ndo itakuwa life yako, inabore kufanya kitu ambacho hukipendi kila siku. Usiogope ushindani wa biashara, maana sidhani kama kwa sasa unaweza kuanzisha biashara ambayo haina watu wengi. Ubunifu ni muhimu sana katika biashara. kwa upande wa fashion, mi nadhani unaweza ukajitosa tu huko maana si unajua hasa sisi akina mama tunapenda sana kununua nguo? (hata kama hutaivaa unanunua tu). kama una mtaji mkubwa, nunua nguo na kuzisambaza mikoani. na unaweza kuwa na duka dogo tu dar ukaweka nguo za kueleweka kwa ajili ya population fulani (nadhani unanielewa)
Mradi mwingine mzuri (kama una watu unaowaamini mikoa ya Iringa, Rukwa, Mbeya na Ruvuma) ni mashine za kusaga na kukoboa, hili ulifikirie tu kama kweli una watu wa kuaminika hizo sehemu, otherwise utapata kichaa.
All the best my dear
 
FLD watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwenye kazi za kujitegemea bcs wanakuwa wooga kutake risk but jaribu ukipendacho kufanya utaona matokeo yake pindi utakapoingia tuu.

asante sana Henge kwa kunitia moyo
 
Kwanza hongera fl1...
Sio wanawake wengi wana mawazo kama yako...
Pili usiache kazi ili uende kuanza biashara....
Fanya biashara wakati wa free mpaka ikichanganya ndo uache kazi...
Halafu chagua biashara zenye risk kidogo...
Nakushauri angalia uwezekani wa kujenga guest.....au
fuga kuku..........[/QUOTE]

Mitizamo ya namna hii mhhh!!
FL wazo la kuanza biashara ni zuri sana ila lataka maandalizi mazuri.Sijajua uamuzi wako ulisukumwa na nini na umeshajiandaa vipi.
Nashauri usome Kitabu cha Robert Kiyosaki and Sharon Lechter - Rich Dad Poor Dad na How to Retire Young and Rich kilichoandikwa na Joseph S. Coyle... hivi vitakupa msukumo na nguvu ya kuanza biashara.

FL achana na biashara za kizamani au zile zinazofanywa na wale akina mama na baba ambao hawakubahatika kwenda shule sana au kuwa exposed kwa ulimwengu wa sasa wa S&T wa utandawazi.Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema Watanzania ni wavivu wa kufikiri.... kwa kiasi alikuwa sahihi..maana kuna kale katabia kakuigana .. jirani kafungua salon na wewe utafungua hiyohiyo...mwingine anafuga basi na wewe utafanya hiyo hiyo. Sasa hivi kila mtu anafungua Boutique, massage palours, bakeries as if hakuna nyingine za kufanya. Kumbe kuna biashara nyingi tu za kufanya.Jihadhari na hili .

In short kama alivyosema Boss hapo juu, usiache kazi kwanza kabla hujaweka msingi wa biashara uitakayo .Kwa maneno mengine weka mipango mizuri ikiwemo na mifumo na taratibu.Take advantage of contacts that you have now while u r employed.Once you are out ..u will be surprised watu watakavyokuwa wanajifanya hawakujui tena ... networks zako nyingi zitayeyuka maana wahusika walikuthamini tu kwa vile ulikuwa na position ambayo waliweza kufaidika.

In short mwanzo can be rough and devastating ila baada ya muda utafurahia uamuzi wako.

thanks VC

ngoja nianze kukuna kichwa sasa na kuchanganua naona watu wote wamenipa mwanga mzuri kabisa na ushauri wa kueleweka
 
FL1, biashara ni nzuri ila uwe makini sana, otherwise hata kama una mtaji mkubwa unaweza ukayeyuka na hata usione ulichokifanya. Kwanza naungana na waliokushauri usiache kazi kwanza mpaka mambo yawe bomba. Pili fanya kitu unachokipenda, maana hiyo ndo itakuwa life yako, inabore kufanya kitu ambacho hukipendi kila siku. Usiogope ushindani wa biashara, maana sidhani kama kwa sasa unaweza kuanzisha biashara ambayo haina watu wengi. Ubunifu ni muhimu sana katika biashara. kwa upande wa fashion, mi nadhani unaweza ukajitosa tu huko maana si unajua hasa sisi akina mama tunapenda sana kununua nguo? (hata kama hutaivaa unanunua tu). kama una mtaji mkubwa, nunua nguo na kuzisambaza mikoani. na unaweza kuwa na duka dogo tu dar ukaweka nguo za kueleweka kwa ajili ya population fulani (nadhani unanielewa)
Mradi mwingine mzuri (kama una watu unaowaamini mikoa ya Iringa, Rukwa, Mbeya na Ruvuma) ni mashine za kusaga na kukoboa, hili ulifikirie tu kama kweli una watu wa kuaminika hizo sehemu, otherwise utapata kichaa.
All the best my dear

thanks mpendwa mie nitaendelea kuomba tu ushauri pale ninapohitaji wapendwa
 
mi sijajua saana nishauri nini,coz my mind is not settled, but i appreciate michango ya watu humu maana inatusaidia kuthink.
 
FL1,
For most of the successful businesses, the business idea comes first even before the capital unless kama umeshinda bahati nasibu otherwise kutokana na kazi yako hiyo ya Purchasing Officer nilitarajia ungekuwa tayari unajua ni biashara gani inalipa kutokana na kazi yako ya manunuzi kila siku una deal na biashara tofauti tofauti na jinsi zinavyoendeshwa. Many purchasing offers I know ni watu wenye connection nyingi sana na wanaofahamu vyema mifumo ya biashara na jinsi inavyokwenda ni watu wanaocheza rafu sana pia kwenye kazi zao hasa wale walioajiliwa serikalini. Kununua vitu kwa bei mara 2 ama zaidi ya bei halisi kwao ni kitu cha kawaida sana.
Nilitarajia kwenye mada kama hii FL1 kutokana na kazi yako wewe ungekuwa mchangiaji tu, Otherwise hakuna biashara ambayo wote wanayoifanya wanafanikiwa ama kutokufanikiwa muhimu "do kind of business you think you are interested in yourself and best in" inawezekana kabisa kuna kitu unafikiria lakini hauna imani nacho,ushauri wangu go for it.
 
Kwa wale wanaotaka inspiration towards financial independence,..someni summary hiyo hapo juu ya Kitabu cha Rich Dad Poor dad nilichomshauri FL asome.

VC
 
Back
Top Bottom