Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,108
- 2,510
Mada hii imenisaidia sana kuthink maana nilikuwa empty kichwani juu ya biashara,mawazo ya wachangiaji ni mazuri mno na yanatia moyo sana hasa upande wa usiache kazi kwanza na uwe tayari ku kupata kutake risk katika biashara.Kuna vipaji vingi sana hapa nchini mwetu,unaweza ukafungua kampuni ya kushindanisha au kusearch wenye kipaji cha kuiga sauti za watu na wenye kuongea point ya za maana za kujenga jamii kama ilivyo Bongo Star Search vile,ukiweza hapo basi utafanikiwa siku zote mwanzo mgumu mwishowe mambo yatakuwa supa.I guess hii wazo ni zuri au mnasemaje wajameni?