JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

wazenji watiwa changa la macho atii, pinda ansema ukweli zenji ni nkoa wa tanzania, na shein ni waziri, na ankwisha apaa yakhe kwa kuwa ni desturi na matakwa ya sheria waziri kula kiapo atii!! hii kweli mdebwedo.
 
ni uweli usiopingika ku yule mzee kuapa kwake kule kumemshushia hadhi sana...anaonekana kama waziri wa kawaida tu
Edson, angeonekana kama waziri wa kawaida ingekuwa afadhali, maana hata wizara angekuwa nayo, yeye ni waziri asiye na wizara maalum, just ceremonial ili aingie BM, hana ofisi, hana wizara wala mamlaka yoyote nje ya kikao cha cabinet, he is just nobody here ila vingora vyake anasafiri navyo!.
 
Edson, angeonekana kama waziri wa kawaida ingekuwa afadhali, maana hata wizara angekuwa nayo, yeye ni waziri asiye na wizara maalum, just ceremonial ili aingie BM, hana ofisi, hana wizara wala mamlaka yoyote nje ya kikao cha cabinet, he is just nobody here ila vingora vyake anasafiri navyo!.

pasco

je hii situation ya kubeba kilemba cha ukoka inakidhi au ina dhumuni gani?

nakumbuka Lyatonga aliwahi kupewa unaibu waziri mkuu enzi za mwinyi , position ambayo hata kkatiba ilikuwa null and void

hii ina maana kwamba kama shein hatakuwa present basi atawakilishwa na makamu wa kwanza wa rais maalim seif kwenye baraza la mawaziri la Tz, hivyo basi na seif anatakiwa pia aapishwe kama waziri katika baraza la mawaziri wa Tz

this imply that automatically tuna serikali ya umoja wa kitaifa katika serikali ya muungano
 
Kwa hiyo mkuu wa kaya akivunja baraza la mawaziri inakuaje hapa? Na yeye si anakuwa amepigwa chini? Nisaidieni hapa wakuu!
 
Baada ya kuapishwa kama waziri si angalau sasa ana kacheo kana"make" sense. Lakini hii ya kuapishwa na kuitwa Raisi bila nchi mbona haiingii akilini ! Eti nchi isiyotambulika duniani yenye watu hata milioni hawafiki lakini ina Maraisi watatu na hii yote eti ni katika kuwaridhisha Wazanzibari na wao wajisikie kwamba wamo, mambo mengine yanawezekana tu ndani ya nchi kamaTanzania !
 
Maalim alitaka kimulikimuli na mafao yake keshapata wengine wameingizwa Chaka.Subiri ukaribie uchaguzi mkuu utayajua mengi .
 
Kwa hiyo Zanzibar ni wizara?
Huku Tanganyika ni waziri,kule Zenji ni waziri pia ni rais.Zenji pia wana marais wengine zaidi ie JK.
Sijui ni kitu gani tunajaribu kutengeneza,tuna tabu sana watanzania.Huu muungano ni vituko,utadhani ni michezo ya chekechea kufurahisha watoto.
 
Mbona vituko! Muungano uanamatatizo lakini bado wanasema hauna shida yoyote. Kuwa na serikali mbili ni tatizo na hasa pale tunapokuwa na serikali Zanzibar na Bara hamna. Muungano uanapaswa kuangaliwa kwa jicho la umakini. Kwa jinsi hiyo utakuwa. Lakini kama watakaza mashingo yao, utawadodea. Suluhisho ni kuwa na serikali moja au serikali tatu, na wajibu wa kila kiongozi uelezwe wazi. Sasa angaliwa wanakuwa kama utambulisho kama wa chekechea. Hii ni aibu kabisa. Wasomi wanashindwa kabisa, kuunda muungano wenye tija kwa sababu ya kuhusudu matumbo! Wanapaswa kutambua kujenga muungano thabiti kutawawezesha wao kupata ulaji halali zaidi kuliko huu usio halali.
 
Zanzibar ni jimbo tu wala siyo nchi, yule ni gavana tu pale kwa niaba ya Rias wa Tanzania.
 
Mkuu, kwamba ZNZ ni jimbo na Shein ni Gavana anaemuwakulisha JK!!!!
Hii ni kali kusikia
 
Back
Top Bottom