Jf members wanao penda ku-flirt PM

Hehehe, babu na ww uwe unanitumia pm nzuri nzuri basi jamani,kha! Nataka nikupige mizinga ya vocha walau za 50,000 tu mara moja kwa mwezi. Lol
 
Lugha ya picha kaka! Hapa ukiona mtu anasema nina shida ya kuongea na mtu anishauri privately ukimkaribisha tu anaanza. 'Uko wapi, unafanya kazi wapi' na pumba kadhalika!
Mi nacheza FIFA a lot. Kama alilenga wadada asingema yeyote anaetaka!
 
Flirting kwenye PM ina raha yake
Iko kama ka nyama ka kuchoma hivi kenye pilip[ili kwa mbali na kalimao
Afu unakula kanaisha huku bado una hamu

Its so amazing
Asante jf kwa kutoa opportunity hii
 
Jamani hii topik nilikuwa wapi, mbona nimepitwa utamu mwingi hivi?
Najuta kuwafahamu, Lizzy hata weye hujanistua
Uniambie teknik zangu wamezigundua?
 
Na kweli, ila usianze sredi kwa kwa kutusi wengine ili kufikisha ujumbe wako
Anzisha sredi na kusema yaliyo moyoni wazi
Mbona rahisi tu
Mwanamke akiwezeshwa anaweza, sie tuliweza sasa hivi twala vyetu kiulaini
Hii hapa style mpya. hakuna cha PM wala nini, unaanzia tu in the thread... :suspicious:
 
Mgongo wako unatutisha, hebu tugeuzie uso kama hatujakuPM

 
Mi nashangaa hata messenger haziendi,, sijui masuper modereta wamechakachua ili waendelee kutuinjoi.

RR anajuta sa ivi kuanzisha topic hii. Uozo wao wagundulika.
 
Huo ni utoto
Mwanamke kutongozwa ni kawaida
Kukubali ni hiari
Kubakwa ni jinai
Kwa kweli mie hata moja ya hivi sijapata watu wanaupendeleo sana aisee

Lakini afadhali sijapata maana ningeshawarusha hewani siku nyingi sina dogo mie
 

Andikeni upya kwa herufu kubwa,huwa haoni maandishi ya herufi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…