Jf members wanao penda ku-flirt PM

Aseeee!!!
DUH!!!!!!!

Hakunaaaagaaaaa!!!

mimi huyoooooooooo..........ngoja niende zangu kwa 'wazee wetu wa kariakoo'
 
jamani kuna wanaoona pm za watu nini,mbona mnatushtua hivo


Hizi Pm ni kama email za Outlook ambazo kunakuwa na Moderator or administrator ambao wana uwezo wa kufanya lolote kwenye Inbox and outbox zako..so ...hawajani convice bwana kama ni salama kule,
Lakini kama hakuna msg zenye njama za kuua ,au zilizo against na haki za binadamu hakuna noma
 
RR:

Hivi kuna tatizo gani MODS kuwa na uwezo wa kusoma PM za members?

MODS like any other IT "SysAdmin" nina uhakika asilimia 100 kwamba wanaweza (wakiamua) kusoma PM za member yeyote hapa jamvini!
 
looooooo!!!!
kumbe nilivunja ukimya eeeeh, wale vishankupe waliolkuwa busy kunitukana wako wapi?
kumbe mnapenda kuambiwa mambo kwa kuremba, tabia za kitanzania hizi, hamtaki kuambiwa mambo machungu kwa uchungu.

kila la kheri waungwana, na kutongozana kwema.
 
karibu tena!! Naiogopa hiyo bastola yako
 
lol!Pm zingine za mahaba
 

Viroba ukivichanganya na Bhange ni matatizo makubwa sana!
 
Asprin

JF Premium Member
This message has been deleted by INNOVATOR

Rejao

JF Premium Member
This message has been deleted by INNOVATOR

Huyu Innovator nani kampa mamlaka ya kufuta posts za magreat thinkers kama sisi?
Anajua nguvu, akili na muda tuliotumia kuandika hizo yuziful posts?
Wapa PAW anipigie hii mtu BAN kulaaleki...
 
tatizo una bastola mpaka PM zinagoma
 
Ofa ilikua ya wadada banaa,ww mkaka mzima unataka games za bure hehehehe! Stuka banaa!
 

Mimi niko busy nasoma PM zenu!
 
As you say ni kheri sisi tusio pata. Nakumbuka kuna thread Lizzy alianza, ya kuuliza utaratibu wa ku-ignore maana kuna mtu alimweka kwenye ignore list ila jamaa akawa anaendelea ku-PM
Really. . . . . .?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…